Ku-copy na ku-paste post yote!!! Kwa nini?

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Jaman, kwa nini wachangiaji wengi hu-copy na ku-paste original post yote? Mi huwa inanibore sijui nyie wenzangu. Kwa nini mtu usi-copy na ku-paste sehemu tu ya original post ambayo ni relevant kwa mchango unaotaka kutoa! Li-thread lizima kila mchangiaji akili-dublicate lote ni sawa na kuongezea mzigo (bytes) servers za JF na pia wasomaji warudierudie kusoma maandishi ambayo tayari yapo contained ktk original post. Wot do you think wit regard to this?

Cheers
 
+1,

huwa na hate Loooong Thread, yaani mind you hii ni opinion yangu, kama mtu aki-toa summary ya habari and then kuweka link ya issue yenyewe ni vizuri zaidi, as long as hiyo summary hai-kiuki/kuua maana nzima ya habari intended,

B.
 
Back
Top Bottom