KPMG wamenipigia simu

wabongo hatuishi kulalama

hili ni fundisho na inafundisha jinsi ya kufanya kazi na wabongo,hawaishi kulalama,

1wasingepiga simu ungelalama
2.wamepiga simu umelalama
3.wangetuma sms ungelalama
4.wangetuma mtu kukupa taarifa ungelalama

nini ufanyiwe ili usilalamike?

wampe kazi asilalamike
 
Et-list wameonyesha wanakujali, kwa kupiga kwako huku na huko, photocopies, nauli ya daladala, stemp, bahasha....vyote hivyo havijaenda bure....I think its good to inform whatver.
 
Aisee hao jamaa ni professionals sana.
laiti ningekuwa ni mimi ningeshukuru sana angalau wamenitaarifu ingawa sikufanikiwa.
 
wewe ndo maana umenyinwa kazi maana unaonekana una maringo sana wakati hujui lolote...
 
Back
Top Bottom