KPMG wamenipigia simu

Wako profeshino sana kaka hawa jamaa ni tofauti na makampuni. Mengine hata unapokosa kazi unataarifiwa!
 
.....na wasingekupigia ungelalamika

wabongo hatuishi kulalama

hili ni fundisho na inafundisha jinsi ya kufanya kazi na wabongo,hawaishi kulalama,

1wasingepiga simu ungelalama
2.wamepiga simu umelalama
3.wangetuma sms ungelalama
4.wangetuma mtu kukupa taarifa ungelalama

nini ufanyiwe ili usilalamike?
 
on second thought, hata wangenipa hiyo kazi am sure mishahara yao ni mdogo sana na hauwezi tosha mahitaji yangu!!
 
on second thought, hata wangenipa hiyo kazi am sure mishahara yao ni mdogo sana na hauwezi tosha mahitaji yangu!!

Kubali kuwa umeshindwa interview na wamepewa kazi watu walio better kuliko wewe, acha kulalamika na kupondea mshahara wakati uliitakahiyo kazi. roho inakuuma nenda kakae chini au wapigie wakuambie ulikosea nini zaidi na ujifunze ili mbeleni upasi interview.

kwa tabia yako hii sitashangaa ukirudi inthe future kuwa unalalamika bado unatafuta kazi. kubali kushindwa, au u r not suitable kwa kazi uliyo apply, umeshindwa labda kuongea kujibu maswali kwa kiburi chako ulidhani umejibu vizuri

nenda kajifunze acha kulalamika
 
on second thought, hata wangenipa hiyo kazi am sure mishahara yao ni mdogo sana na hauwezi tosha mahitaji yangu!!

Mhhhhh! Haya bana! Ulipoona tangazo lao la ajira ukajipinda mwanaume kuapply na kufuata procedures zote ambazo ulitakiwa kuzifuata kama muomba ajira lakini bahati mbaya hukuwa mmoja wa wale waliochaguliwa, sasa ndio umekumbuka kwamba mshahara wao ni mdogo sana hauwezi kutosheleza mahitaji yako!!!!
 
Kubali kuwa umeshindwa interview na wamepewa kazi watu walio better kuliko wewe, acha kulalamika na kupondea mshahara wakati uliitakahiyo kazi. roho inakuuma nenda kakae chini au wapigie wakuambie ulikosea nini zaidi na ujifunze ili mbeleni upasi interview.

kwa tabia yako hii sitashangaa ukirudi inthe future kuwa unalalamika bado unatafuta kazi. kubali kushindwa, au u r not suitable kwa kazi uliyo apply, umeshindwa labda kuongea kujibu maswali kwa kiburi chako ulidhani umejibu vizuri

nenda kajifunze acha kulalamika​

  • huyu bwana mdogo ana matatizo sana.nakumbuka pia kabla ya kufanya interview TRA mwezi march 2012 nilikuja hapa jamvin kuuliza kuhusu majina ya border towns za hapa Tanzania,akanipondea kuwa mimi ni mtabe nasoma sana wakati hivyo vitu havitotoka,tulipoenda kwenye interview vitu vikatoka watu tukalamba marks zetu.afta interview akaja hapa kulalama.TRA walipotoa barua za kazi juzi kati kutuita tuliopita akaja tena hapa jamvin na tumaneno twa wivu oh watu wanakula bata sana kule training.dogo MAJASHO jirekebishe acha kulalama na kujifanya unajua sana kuongea.wamekupigia simu ili kukuambia huwafai wamekutosa,bado unapondea na mishahara.hayo mahitaji yako unayojigambia,jihudumie mwenyewe basi na uache kuombaomba kazi uku umejaa kulalamika katika kinywa chako.unakera sana watu wewe bwanamdogo na usipokua mwangalifu utasota sana.
 
Kpmg is one of the best company to work for especially in time your startin career fresh from school, I am talking through experience, I real love kpmg and its my life choice among all big 4 in tanzania, if you did not succeed its ur fault and not salary reasons, much love to kpmg partners for exposure and trainings and tough assigments as its makes us grow
 
aisee kiwembe mbona una panick mi na challenge tu mtu wangu.... kwanza kwa taarifa yako hiyo barua ya TRA hata mi ninayo...ushahidi huu hapa
second paragraph...

we are pleased to inform you that you have been successful and therefore management has decided to appoint you as assistant customs officer. the offer is subject to your attendence and successful completion of a two months preservice training. au niendelee

msitake things too personal humu ndani....apa online utani mwingi muhimu....

aisee kiwembe...tutakuwa wote darasani pale ITA tunakula buffet la TRA!!
 
Jione mwenye bahati kwamba umepigiwa simu kuliko kubaki ukisubiri, kuna njia nyingi za mawasiliano ikiwepo na hiyo ya simu!!!!!
 
on second thought, hata wangenipa hiyo kazi am sure mishahara yao ni mdogo sana na hauwezi tosha mahitaji yangu!!

Hizo dharau zako nakuhakikishia maisha yako yote utakuwa wa kufukuza upepo tu hata kama utakuwa vigezo vyote!sorry brother
 
Pole sana kaka! wale jamaa ni SECOND WORLD MOST ATTRACTIVE EMPLOYER 2011/2012 SASA UKILALAMIKA WATAKUSHANGAA WATUME MWENYEWE NILIFANYA HUKO KPMG BADO HAWAJANIPIGIA PERHAPS NIMEPATA, JAPO SHAVU LA TRA NALO LINANISUBIRI HERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI....
 
Back
Top Bottom