KPMG Tanzania na top 100 za siri

AbasMzeEgyptian

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
407
312
wiki iliyopita wamefanya mzinga wa party pale mlimani kusherekea makampuni 100 muhimu zaidi Tanzania

mbona list wanaifanya siri?


Kulikoni KPMG au ndio mambo ya akina Arthuranderson?
 
sasa subiri ...... TRA wamepata deal ...... haya makampuni yanayojifanya top 100 hayatapumua

KPMG ni undercover agent wa TRA
 
majina ya makampuni na nafasi yalizoshika yameorodheshwa kwenye gazeti la the Citizen on Sunday
 
Zoezi la kutafuta makampuni bora kwa mwaka huu linaendelea. Kama ungependa kushiriki nicheck pm
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom