Kozi za Uhandisi zinazolipa Tanzania

Ni mtoto Wa mechanical engineering

Nilichaguliwa udsm

Nikaipiga chini nikaenda Mecha.

Industrial ni based kwa viwandan tu kama ilivyo automobile kwa magari tu...lkn hawaendi ndan zaid

But Mecha anawaingilia kwan ni mama yao.

Now days kuna aircraft maintenance engineering nayo ni mtoto wa mecha

Am proud to be a mechanical engineering

Mkuu mbona unatudhalilisha???? Unajua tofauti kati ya engineer na engineering???

Ilibidi useme "am proud to be a mechanical engineer na sio engineering" (au uko mwaka wa kwanza mkuu)??
 
Naona mdau anatokwa na povu haswa hajui core course ni Civil,mech na Electrical Yeye kashikilia tu mech ni bora kuliko chochote akikosa power atafanya chochote?
 
Civil ndo kozi inayoongoza kwa Tz.Inafaa kwasababu Tz bado ni third world na inahitaji kujengwa

Mech haina market kwasababu bongo hakuna heavy industries.Utaishia kufanya maintenance na machine ikizingua zaidi techncician kutoka kwa manufacturer anakuja kukutengenezea

Electrical i think wote tunajua matatizo ya umeme nchini.Haitaji elaboration

Kozi nyingine za uhandisi zilizobaki ni mbwembwe tu
 
Katika ufahamu wangu na ninavyoo elewa coz zinzo kuja juu ghafla katika soko ndo kozi za kuziogopa .kutokana kwamba zikijaaa tu ..utakaaa mtaaani ....coz knakua na udadi flani ya watu wakipatikana tu....wengine mtafte njia..
Lakini cozi za kukimbilia ni coz amabzo ..hazipo juu wala chini bali ni normal ..amabzo unaweza jiajiri MWENYEWE hata kwa mtaji mdogo. Ambazo znaendelea kuhitajika day to day..na znazolingana kwa technologia ya nchi yetu.

anaesoma petroleum leo ajiandae kukaa kitaaa baada ya miaka minne
 
Mechanical hatii mguu kwa electrical hata kidogo.
Mechanical anakimbia kazi za electeical but Electrical anaweza kufanya kazi za mechanical labda atazidiwa kwenye designing tu. Hata kama electrical hawezi lakini anachukua muda mdogo sana kuelewa kazi za mechanical hasa viwandani.
Electrical is all about. Proud to be part of them.

Wewe unajua sylabus coverage ya mechanical.? Inshort mechanical ni mechanical, electrical ni electrical. Hakuna substitute wa mwenzake.

I am telecommunication engineer na nilisoma Telecommunication, ila nina much respect kwa watu wa Civil, Electrical, na Mechabical. Bila hawa hakuna engineering, pia knowledge yake is there to stay for years na haibadilikibadiliki. Na kwa bahati nzuri nimefanya na kupractice electrical kwa vitendo from drawing design to equipments fitting and installation. Niliienjoy na ninaenjoy sana kufanya electrical.

I must admit kuwa nilienda telecom kwa mkumbo tuu.
 
I think ni CIVIL,ELECTRICAL & MECHANICAL.eng karibia zote ziko ndani ya hizo 3.those are the best😎
 
Ndugu zangu engineering zote za kuheshimu hasa electrical, civil na mechanical but asikwambie mtu electrical abali ingine
 
Wewe unajua sylabus coverage ya mechanical.? Inshort mechanical ni mechanical, electrical ni electrical. Hakuna substitute wa mwenzake.

I am telecommunication engineer na nilisoma Telecommunication, ila nina much respect kwa watu wa Civil, Electrical, na Mechabical. Bila hawa hakuna engineering, pia knowledge yake is there to stay for years na haibadilikibadiliki. Na kwa bahati nzuri nimefanya na kupractice electrical kwa vitendo from drawing design to equipments fitting and installation. Niliienjoy na ninaenjoy sana kufanya electrical.

I must admit kuwa nilienda telecom kwa mkumbo tuu.

Upo sahihi mkuu. Huyo mtoto atakua ndo anaingia second year yan anasema mtu wa electrical anaweza fanya kazi ya mechanical engineer atakua anaota. Kushare vi course vichache hakukufany kuwa competent kwenye course isiyokuhusu.
Mfano watu wa computer eng kwa mwaka wa pili wana share almost 70% ya course na watu wa electrical, Lakin kamwe mtu wa electrical hawez jilinganisha na wa Computer engineering.
 
Wewe unajua sylabus coverage ya mechanical.? Inshort mechanical ni mechanical, electrical ni electrical. Hakuna substitute wa mwenzake.

I am telecommunication engineer na nilisoma Telecommunication, ila nina much respect kwa watu wa Civil, Electrical, na Mechabical. Bila hawa hakuna engineering, pia knowledge yake is there to stay for years na haibadilikibadiliki. Na kwa bahati nzuri nimefanya na kupractice electrical kwa vitendo from drawing design to equipments fitting and installation. Niliienjoy na ninaenjoy sana kufanya electrical.

I must admit kuwa nilienda telecom kwa mkumbo tuu.

Kama nakufahumu vile..
 
Civil ndo kozi inayoongoza kwa Tz.Inafaa kwasababu Tz bado ni third world na inahitaji kujengwa

Mech haina market kwasababu bongo hakuna heavy industries.Utaishia kufanya maintenance na machine ikizingua zaidi techncician kutoka kwa manufacturer anakuja kukutengenezea

Electrical i think wote tunajua matatizo ya umeme nchini.Haitaji elaboration

Kozi nyingine za uhandisi zilizobaki ni mbwembwe tu
Naku support kiongoz..
 
Mechanical hatii mguu kwa electrical hata kidogo.
Mechanical anakimbia kazi za electeical but Electrical anaweza kufanya kazi za mechanical labda atazidiwa kwenye designing tu. Hata kama electrical hawezi lakini anachukua muda mdogo sana kuelewa kazi za mechanical hasa viwandani.
Electrical is all about. Proud to be part of them.
Umeongea kweli kabisa.
 
Mkuu engineering ni design na kama mtu wa electrical hagusi design za mechanical maana yake mechanical imemzidi kimo. Tuache utani mech ipewe heshima yake.
 
Hizi ni course za engineering zinazolipa/ziko moto kwa TANZANIA...hizi course ni 1.AGRICULTURE ENGINEERING 2.IRRIGATION AND WATER RESOURCE ENGINEERING 3.BIO-PROCESSSING ENGINEEERING zote hizi zinapatikana SUA
Kozi inayolipa ni music/sound engineering,kwa bongo bora ujifunze muzik,uimbe au ufanye production,
 
Akina sisi hao. Ni mainjinia "viraka". Tunafiti karibu kila mahali. Uhandisi wa Maji; Majitaka; Taka-ngumu. Udhibiti wa Uchafuzi wa Mazingira. Tathmini ya Athari za Mazingira. Usalama Kazini. Udhibiti wa Maafa. Na mengineyo mengi.
Aseeee tembea uone, lakini kazi zake si zipo?
Kwahiyo yenyewe tutairank ya ngapi katika uhandisi unaolipa?
 
Back
Top Bottom