Kivule
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 639
- 662
Programming,microcontroller,microprocessor technology nk ni baadhi ya masomo katika electrical eng.Na hayo masomo ni muhimu kwenye suala la "automation"Kwa hiyo ni lazima mtu ajifunze na awe na uelewa.Siongei kiushabiki hapa na wala siko biased!Kwanza una miaka mingapi na una elimu level gani?Nisije nikawa naongea na mtu ambaye ndiye amedahiliwa mwaka wa kwanza.
Ujajibu swali unakimbia kimbia tu eti una mention terminologies, umeshindwa hoja ya electrical na mechanical Aya bhana, unataka kujua elimu yangu ili iweje Kuna mtu anayeenda kuanza chuo anaongea na anajua nilichoandika sawa mi nae nasubiri kuingia chuo mwaka huu.......nimekuuliza swali we unaesoma electrical kwanza electrical hamfundishwi jinsi ya ku design electronics circuits kwa kutumia software km proteus, multism nyie labda Autocad, Sina maana electronics ni bora kuliko electrical ila huwezi sema eti electrical engineer anaweza fanya kazi za electronics, ndo mana kwenye kampuni Kuna vitengo km power ndo electrical engineer utawakuta uko Ata electronics na I. T nao Wana vitengo vyao na haviingiliani.