zote ni digrii ila alyexoma sua na WDMI na ATC hawafanani kiutendaji, SUA wapo marketable mno.
tell us please how this man is marketable
zote ni digrii ila alyexoma sua na WDMI na ATC hawafanani kiutendaji, SUA wapo marketable mno.
hiyo course yenye red hapo..nime apply pale sua..ila nlikua naomba kama unaipata kwa undan zaid ya niijuavyo mnieleweshe
-je inafanana na civil engineering?
-mtu akiisoma ataweza fanya kazi kama za mtu wa civil engineering??
naomben msaada wana jf
Mechanical engineering
Ndio baba na mama yenu ktk uhandisi hata soko lake lipo wide
Am proud to be a mechanical engineer
tell us please how this man is marketable
mkuu vp computer science software engineering?
LORDVILLE ,yaani hapo hujapotea wewe utakua marketable kila sehemu serikalini na kwenye NG"Os wewe nenda kapige buku
Mechanical hatii mguu kwa electrical hata kidogo.
Mechanical anakimbia kazi za electeical but Electrical anaweza kufanya kazi za mechanical labda atazidiwa kwenye designing tu. Hata kama electrical hawezi lakini anachukua muda mdogo sana kuelewa kazi za mechanical hasa viwandani.
Electrical is all about. Proud to be part of them.
Mkuu ningeomba unieleweshe vizuri ni kazi gani ambazo zinamfanya Electrical kuwa juu zaidi ya Mechanical?.Je nchi yetu inapoelekea hasa kati ya hizo course mbili wataalamu gani watahitajika kwa kiasi kikubwa?.Je katika nchi yetu na hata vyuoni hasa vyuo vikuu ni wawapi wanapatikana kwa wingi kati ya hizo course mbili?.Je anaesoma Electromechanical anasoko kubwa kuliko hizo engineering mbili?.Je soko la ajira linapatikana kwa mtu alie compitent au kwa mtu yeyote katika fani husika?.Kwa nini unafikili Electrical anaweza fanya kazi nyingi za mechanical?,Je hata akizifanya atazifanya kwa ubora ule ule angeo ufanya Mech eng?.Tafadhali naomba unieleweshe vizuri au kama kuna mtu mwenye ufahamu juu ya haya anielezee vizuri?.Mechanical hatii mguu kwa electrical hata kidogo.Mechanical anakimbia kazi za electeical but Electrical anaweza kufanya kazi za mechanical labda atazidiwa kwenye designing tu. Hata kama electrical hawezi lakini anachukua muda mdogo sana kuelewa kazi za mechanical hasa viwandani. Electrical is all about. Proud to be part of them.
Mkuu kwa nini umeona hizo ndio course zako top 3?.Je kama huhitaji tuhoji kwa nini umedhiorodhesha hapa?.Ili kuondoa dowt kwa nini hujaeleza ubora wa kila course na upungufu wake hasa kwa Tz yetu?.Tunaomba uzielezee kwa kina ili tusihoji.Kwa nini umeamua kuchagua hizo course na sio course zingine.Kwangu mimi TOP 3 ....1.ELECTRICAL 2.MECHANICAL 3.CIVILKama utakubali au kukataa ni juu yako!
Mkuu ningeomba unieleweshe vizuri ni kazi gani ambazo zinamfanya Electrical kuwa juu zaidi ya Mechanical?.Je nchi yetu inapoelekea hasa kati ya hizo course mbili wataalamu gani watahitajika kwa kiasi kikubwa?.Je katika nchi yetu na hata vyuoni hasa vyuo vikuu ni wawapi wanapatikana kwa wingi kati ya hizo course mbili?.Je anaesoma Electromechanical anasoko kubwa kuliko hizo engineering mbili?.Je soko la ajira linapatikana kwa mtu alie compitent au kwa mtu yeyote katika fani husika?.Kwa nini unafikili Electrical anaweza fanya kazi nyingi za mechanical?,Je hata akizifanya atazifanya kwa ubora ule ule angeo ufanya Mech eng?.Tafadhali naomba unieleweshe vizuri au kama kuna mtu mwenye ufahamu juu ya haya anielezee vizuri?.
Nafurahi mnavozisifia kweli kozi zenu na kusema ni nzuri kila mmoja akisrma kozi yake ni zaidi ya zote... wakati ukisema hivyo kumbuka Engineering inahusu sana design,passion ya kufanya jambo husika.. bila kujionea huruma unajisifia upo unasoma electrical eng lakini hujui hata mosfet transistor ipoje huwezi kudesign hata van de graph generator huwezi kusuka hata transformer wengine wanaambiwa petroleum eng ni bora kuliko zote mara mining Je hawa watu walipata walichoambiwa... kumbukeni mahali tunapoenda watu hawata consider vyeti vyako ila uwezo wako.. mfano kuna kazi inaitwa programming ni most paid part time job lakini hata usome na hauna passion huna projects zako uende na cheti gani hatapata kazi.. Kwa upande kila eng course ina soko iff unauwezo ka kufanya kitu na wala si jina la kozi NB :Make your passion your proffesion