kozi ya mafunzo ya ukonda!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
veta tawi la mwanza imetangaza kozi hii mpya kuanzia januari 2 mwakani.
 
kozi haina future!kwa nchi zilioendelea ma bus hayana konda hata hapa tz malori kama ya bp,total,coca cola hayana konda
 
kozi haina future!kwa nchi zilioendelea ma bus hayana konda hata hapa tz malori kama ya bp,total,coca cola hayana konda

entry criteria ni lazima uwe kondakta,ni kama kozi ya kujiendeleza kielmu kazini
 
Back
Top Bottom