Kozi ya it imekuwa yeboyebo bongo sijui itakuwaje kwa miaka 5 ijayo kwenye ajira

Watu mnagegenralise sana mambo. Watu wanasoma engineering so called origanal ya UDSM wanasimamia jengo na linaporomoka sasa ndiyo unashangaa Kusoma programming kwa wahindi......

Eti Programming. Programmin ndio nini kwenye IT? Kama anajiona anajua muache ajione anajua hata kama kasomea kwa kemcho bahi otherwise kama unajua zaidi yake mchalallenge......

Yalaaa...don't take it personal.
 
hata US wanasheria ni wengi kupita kiasi na wanaendelea kusoma ni wengi pia. ila kinachowatofautisha ni competence na ndio kitu cha msingi kwenye soko la ajira sasa kama ww ni kilaza au hujishughulishi katika fani yako tegemea maumuvu.
 
Mnasoma wengi wanaoelewa ni wachache.amtaki jituma, enzi zetu tumesoma kwa shida,intenet ilikuwa ni dial up 56kbs ,nyinyi mna kila kitu ila mnacheza na fesi book deile,.. Komaa jifunze kuprogram control box za magari ,jifunze kuprogram dish receiver upate chanel bomba unauza,jifunze kuripea system za viwandani na Plc kazi zipo za kumwaga,jifunze kuwa bingwa wa ipad,ipod,iphone ,blackbery utakimbia kazi haya yote unaweza jifunza 100% kwa net for free. Wenzako tunakimbia kazi.changamka usilale kijana ukatafuta mchawi
salute kijana, ushauri mzuri sana
 
Ukweli ni kwamba huko tuendako huwezi kuajiriwa kwakuwa tu eti wewe ni
mhitimu wa IT...haitoshi lazima uwe na ujuzi mwingine utakaokupa ajira...
IT ni kama kujua kusoma na kuandika, inatarajiwa kila mtu ajue matumizi yake

Well said Bro hii kitu watu wanachanganya unajau kuna IT na kuna Computer Science/Engineering , IT/ICT ni tatizo kuwa mimi nimesoma ICT ila najuta wish bibgesoma hat U-Dokta kwani IT/ICT ningweza kwenda kusoma hata Master na nika ipata fresh tu.
Kwa sasa mimi nashahuri watu wakasome TELECOM hii kitu bado ni dili bongo kwani vyuo ni vichache na wanafunzi wengi wanikimbia.
NIna mapango w akurudi chuoni hasa UDOM au DIT nikasome hii kitu hupya hata kama ni Certificate hii kitu ina husu sana.
 
Back
Top Bottom