Kozi ya it imekuwa yeboyebo bongo sijui itakuwaje kwa miaka 5 ijayo kwenye ajira

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui zitakuwajeee
 
una uhakika?..unazo data kamili? acha kupotosha watu bana. sasa cnhi za europe watasemaje sasa au americas
 
We tatizo lako hasa ni nini? Kwa hiyo hautaki watu wasome IT kisa isije kuwa yeboyebo!! Ok toa ushauri sasa watu wasome kozi gani ili muachiwe hy IT wenyewe..
 
Acha wawe wengi bana, ushindani ukiwa mkubwa na sie tunaomiliki PC za mitumba tutapata nafuu ya matengenezo..............
Nakumbuka nilishalambwa 100,000 kuwekewa Window miaka hiyo, lakini siku hizi hata mwekundu tu unapata Window safi kabisa.
 
Ukweli ni kwamba huko tuendako huwezi kuajiriwa kwakuwa tu eti wewe ni
mhitimu wa IT...haitoshi lazima uwe na ujuzi mwingine utakaokupa ajira...
IT ni kama kujua kusoma na kuandika, inatarajiwa kila mtu ajue matumizi yake
 
HIyo IT ya Vyuo vya Ilala na Kariakoo wako certified kweli na Microsoft au Cisco?
 
Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui zitakuwajeee

Sasa wewe ulitaka usome peke yako?kwa taarifa yako kama unasoma ili uwe job seeker imekula kwako,jitahidi uje uwe job creater ajira hakuna siku hizi,ongeza juhudi kwenye ubunifu,TCHAO.
 
Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui zitakuwajeee

Ndio umejua kuinstall Antivirus leo? ?????
 
Mnasoma wengi wanaoelewa ni wachache.amtaki jituma, enzi zetu tumesoma kwa shida,intenet ilikuwa ni dial up 56kbs ,nyinyi mna kila kitu ila mnacheza na fesi book deile,.. Komaa jifunze kuprogram control box za magari ,jifunze kuprogram dish receiver upate chanel bomba unauza,jifunze kuripea system za viwandani na Plc kazi zipo za kumwaga,jifunze kuwa bingwa wa ipad,ipod,iphone ,blackbery utakimbia kazi haya yote unaweza jifunza 100% kwa net for free. Wenzako tunakimbia kazi.changamka usilale kijana ukatafuta mchawi
Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui zitakuwajeee
 
Tena kuna baadhi ya hizo profesional unaweza pata vyeti vinavyotambuliwa dunia nzima just kwa kufanya mtihani baada ya kulipia.mfano kuwa Blackbery certified specialist ambao Voda,tigo,zantel nk awatoshi na wanatakiwa kila kukicha ni kama dola 300.kituo cha mtihani kipo pale starnlight ktk jengo la technobrain na notes zote zipo free kwenye internet.mwaka juzi mtu wa blackbery Voda alikuwa alipwa kama 1m kwa mwezi,na anapata free blackery Bis connected, airtime,data bundle,laptop na vitendea kazi bure. So C programa pambana.tanzani kwa It demand ni kubwa sana tena sana.
 
IT bongo bado mno, hasa Programming ni ZER0%, mmejaziwa vyuo feki na Wahindi basi ndio mnajiona mnajua IT.

Watu mnagegenralise sana mambo. Watu wanasoma engineering so called origanal ya UDSM wanasimamia jengo na linaporomoka sasa ndiyo unashangaa Kusoma programming kwa wahindi......

Eti Programming. Programmin ndio nini kwenye IT? Kama anajiona anajua muache ajione anajua hata kama kasomea kwa kemcho bahi otherwise kama unajua zaidi yake mchalallenge......
 
Holy...........ngoja niishie hapa tu.
 
Nitajie fani hapa bongo ambayo ukigraduate unapata ajira moja kwa moja. Ukiweza kunitajia naenda kujiunga kesho.
 
Back
Top Bottom