Kozi hii ya SUA inalipa????

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Naomba kujuzwa kama hii degree programme Bsc. Animal Science and production ya SUA inalipa?
Nataka kupata taarifa kama baada ya kumaliza kozi hii soko lake mtaani likoje?? katika kujiajiri au kaujiriwa??
Na kwa wale waliosoma kozi hii ni ngumu namna gani??
Asanteni.
 
We kasome kwanza mambo ya kozi kulipa ni baadae ushaona mchakamchaka wa SUA kwanza?
 
We soma kwanza. Acha kuuliza ugumu au urahisi wa kozi.
 
Naomba kujuzwa kama hii degree programme Bsc. Animal Science and production ya SUA inalipa?
Nataka kupata taarifa kama baada ya kumaliza kozi hii soko lake mtaani likoje?? katika kujiajiri au kaujiriwa??
Na kwa wale waliosoma kozi hii ni ngumu namna gani??
Asanteni.

Kama una entrepreneurial qualities then hiyo kozi ni safi sana!!! Ni kozi ambayo niilipenda sana wakati nilipokuwa SUA hata kama ckusoma hiyo kozi. Kuna opportunities kwenye sekta ya ufugaji(commercial) kwahiyo ukisoma hiyo kozi na kuamua kufuga (particularly layers, broilers n' dairy) basi lazima utoke kv utaendesha shughuli zako kitaalamu. Good enough, kwenye hiyo kozi vilevile wanapata ABC za Agricultural Economics. Kama sikosei, kwenye hiyo kozi huwa wanasomea hata masuala ya preparation of animal feeds . Hiyo nayo ni another business opportunity especially in urban areas. Nahisi hii kozi ina opportunities nyingi sana kama utaamua kujiajiri.
 
Wapi umeona graduate wa SUA amekosa ajira? Ukimwona huyo ujue alikosea kwenda pale hiyo kozi inaulaji ile mbaya mtaani hakuna aliyekosa kazi na kila aliyemaliza ni bonge la mjasiliamali tena mwenye mafanikio
 
Sisomi SUA lakini naamini hakuna course hata moja ambayo mwanafunzi akihitimu shahada yake ya hapo SUA anakuwa hana idea ya mambo ya kufanya ya kumpatia kipato,Kwa wanasua tuwape pongezi waadhili wenu kwa kuwaandaa vizuri na kuweza kukabiliana na tatizo hili la ajira, tofauti na wahitimu wengine ambao hawana kabisa entreprenual spirit na hii inatokana na maandalizi mabovu na kujazwa ujinga wa wautumwa wa ajira.
 
Dogo mambo ya kozi inalipa au hailipi yamepitwa na wakati!leo unaweza kuambiwa hailipi halafu ukakimbilia nyngne mwisho wa picha mpaka unagraduate hata hyo uliyokimbilia hailipi,KAMUA KITABU.
 
Ila kama hauli mdudu usisome hiyo kozi kwani utapata shida sana siku ya kumsoma mdudu kiundani. Opportunities kibao ukimaliza coz unaweza kufuga mdudu (Nguruwe)
 
kuna watu wengi ninaowafahamu wana certificate ya hiyo course wapo kazini tena within a yr
 
Usijali naamini sasa hivi utakuwa tayari umeripoti chuoni maana mwaka wa kwanza mlitakiwa kuripoti tarehe 24 mwezi huu, siku ya kujisajili utapewa kitu kinaitwa course content hapo utapata kujua ni nini utarajia kupata pindi umalizapo kozi hiyo na hapo ndio unaweza jua ni pana kiasi gani. na kwa kuongezea tu siku hizi pale SUA kuna kozi ya Intaprenyuashipu( Enterprenuership) ambayo ni lazima kwa kila mwaka wa kwanza na wa pili so utajifunza ujasiliamali na mbinu zake, so huwezi toka kapa kwa kozi yoyote ile usomayo pale SUA. Kuhusu mchakamchaka wa SUA ninachoweza kukushauri ni kuwa "Utamu wa ngoma ni uingie kucheza" kama wengine wameweza wewe utashindwa nini, ythe fact that umechagulia kujiunga pale SUA it means wewe ni University material so utaweza tu, muhimu ni kukaza buti maana bado una safari ndefu!
 
Back
Top Bottom