Kozi gani ina maslahi makubwa ?

civil and structural engineering

Unajua software engineer wa Microsoft analipwa bei gani??? Hakuna cha Civil wala nini ni makubaliano yako na mwahiri na ufanisi wako wa kazi ndio unalipa
 
Co lazma uajiriwe waweza jiajir!!!! swal amenjb samit peke yake wengine hamwelew nlichoulza kuen makn. tafadhal soma mada vzur na utafakari vzur ndo ujb kuendana na mtazamo wako if possible wth evidence rmbr "THIS IS GREAT THINKERS FORUM.!!!"
 
acha uvivu, kozi zote zinazofundishwa zinalipa na kama kuna course haifundishwi basi itakuwa hailipi...fikiria chukua hatua
 
Huu ni mwendelezo wa kale ka-formula ka Go school >>> get good scores >>> get a good secured job >>> work for money until you retire >>> DIE SOON AFTER RETIREMENT!!
 
Acha dharau man...watu tunayo hiyo hiyo na tunagonga 1.7 m per month...

Acha ukilaza wewe nimedharau nini? Tatizo watu hamjiamini ebu niambie wapi nimekudharau? Usinitafutie Ban, nimedharau wapi? Kuandika Bachelor of arts with Education ni dharau?
 
Co lazma utoe majb ya kivivu kama hujui unge2lia 2 acha wenge m2 mzma ww bdo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom