Kova, who are you to decide watu wana sababu au hawana sababu ya kuandamana?

IslamTZ

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
309
182
Kamanda Kova anasema Cuf "hawana sababu ya kuandamana".
Hii ni sababau zaidi ya kudai katiba mpya. Kova (Kamanda), anakuwaje na madaraka ya kuamua watu wana sababu au hawana sababu ya kuandamana? au Maandamano ni halali au sio halali? Ni mahakama pekee yenye uwezo wa kuamua hilo, hata raisi hawezi kuamua hilo katika utawala wa sheria.

Halafu Kova anasema anajua eti maandamano ya Cuf yalikuwa na lengo la vurugu, Cuf wamesema maandamano ni ya amani? Yeye alijuaje kuwa yalikusudia vurugu? ameoteshwa?
 
Back
Top Bottom