KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

yaani upuuzi 2!ss cdm inaingiaje hapa?who is ponda?dawa yake km yule wa kenya walivyomfanya!....ss wakristo tuseme imetosha!..na nafurahi coz hata huko ccm rais ajae ni zamu ya mkristo
 
Kova ni mnafiki hawezi kumkamata ponda,huyo baba yao Vasco hawezi sembuse Kova,hawa jamaa ni DHAIFU!

Nami nashangaa hivi wahalifu/watuhumiwa wote huwa wanahadharishwa kupitia vyombo vya habari kwamba wanaelekea kukamatwa?Kova ni aina nyingine ya janga
 
Kova anamwambia nani sasa? Anataka tumsaidie nini? Kwani waharifu wote anatupaga taarifa hizi? Kama anaona anaweza kumkamata na kavunja sheria, aende akamate tu au anataka muarifu akimbie
 
wamekuonesha kadi zao ukajua wako CDM?

Mie nina miaka minne JF tunajuana kwa michango yetu humu JF, hawa hawa wanaowaponda Waislam hawa hawa ndio unawakuta wanamsifia Dr Slaa na Mchungaji Msigwa.
 
yaani upuuzi 2!ss cdm inaingiaje hapa?who is ponda?dawa yake km yule wa kenya walivyomfanya!....ss wakristo tuseme imetosha!..na nafurahi coz hata huko ccm rais ajae ni zamu ya mkristo

wewe mama utaliweza kweli battle au unabonyeza tu hio keyboard?.
Huyo rais ajaye mbona kama namhurumia vile.
 
Ukienda pale jirani na hospitali ya Mwananyamala, kuna Msikiti na jirani yake kuna Kanisa. Ukiingia kanisani utakuta shughuli zinazoendelea ni watu wanajifunza kushona, wengine Useremala na wengine Computer. Ule msikiti wa jirani ukiingia muda karibu wote wako busy na mazoezi ya karate! Sasa unataka hawa watu wawe sawa kwenye soko la ajira! Hawa watu wata-compete vipi kwenye soko la ajira?

Ajira za karate zikitangazwa lazima watadomineti soko
 
Hv ina mana huyo mtot altumwa na makanisa yalyochomwa moto au?na mbona mambo haya hayatokei sehemu znazoeleweka km mbez,kjtonyama,why!!
 
Uswe,
JF sio mali ya Chadema kwa hiyo usitake kupangia watu vitu vya kuandika, kwani wewe kuwa Chadema ni sifa.

siamini kama eti una udini,ninachokiona hapa ni uwezo wako mdogog wa kuchambua mambo hasa unapoletewa hoja za kidini! Hizi dini zililetwa na waarabu na wazungu! ni ujinga wa mwisho eti ifikie hatua zipoteze amani yetu!
 
Last edited by a moderator:
Mie nina miaka minne JF tunajuana kwa michango yetu humu JF, hawa hawa wanaowaponda Waislam hawa hawa ndio unawakuta wanamsifia Dr Slaa na Mchungaji Msigwa.

Kwa usemi huu unataka kutuaminisha Chadema ni ya mlengo wa Kikisto?

Miaka 4 lakini michango yako ya KIPUMBAVU, KITOTO NA KIJINGA
Nyie ndo mnaleta mpasuko katika chama chetu ccm
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.
Mkuu acha udini na ushabiki wa vyama.. Walichofanya ndugu zako Waisilamu hakifai kuungwa mkono na chama chochote..Na kama CCM hawatakemea hili mtakuja kuona Tanzania tunayoitengeneza. Kwa akili ya kawaida reaction waliyofanya siyo nzuri wala haina busara ya kutetea dini. Mnajibebea laana tu kaka!!
 
Nisha gundua promi demana na ritz ni mtu huyohuyo! Mnawachchea watu wasio na uelewa mpana kuwa na chuki! Shame!
 
hakuna anayeuchukia uislam bro! Waislam ndio wanaoharibu maana ya uislam. Inferiority complex ni tatizo sana. Wapelekeni vijana wenu wakapate elim dunia. Haya tunayoyaona ni madhara ya elim ahera na indoctrination

ha haa ha, mkuu hivi Tanzania nako kuna wasomi wa kujitapa? Ebu niambie huo usome wenu umelisaidiaje taifa letu au usomi wenu kazi yake ni kufisadi nchi.
 
Tanzania bila Waislam Wapuuzi inawezekana kabisa. Timiza wajibu wako.........kataa Mahakama ya Kazi, na rais muislam
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.

Nimeona nguruwe na mishikaki.....duh, ngoja nikaitafute leo.

Wamkamate au wasimkamate shauri yao.
 
Kwa usemi huu unataka kutuaminisha Chadema ni ya mlengo wa Kikisto?

Mkuu Ritz

Mbona unataka kuhamisha mjadala, turudi kwenye mjadala.

Je wewe kwa ufaham wako yule kijana alitumwa na na chadema kukojolea msahafu?

Au wewe pia unaamini waliochoma makanisa ni wahuni? nini maoni yako mkuu
 
Back
Top Bottom