KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

Aliekwambia tunaongozwa na sheria nchi ni nani? Tunaongozwa na uislamu bwana. Unadhani yaliyotokea mbagala wangekuwa ni wakristo leo tungekuwa tunaendelea kuomboleza baada ya risasi za moto kutumika
 
Kova kweli una mafunzo ya kazi yako? unatuambia sisi kuwa utamkamata Ponda muda sio mrefu sisi tufanye nini!!!unamuogopa Ponda! unahitaji msaada wetu au unataka kutuzuga?peleka upuuzi wako huko umeniudhi sana ebo.

Mkuu kweli umenena
 
sasa mkuu kuna uhalali wa kuongozwa na mtu ambae hata darasa moja hajaliona na pia anacheza karate msikitini

Wazee wenzake wametulia makwao na wajukuu zao na familia zao, yeye anashinda kuonyesha hasira zake za kutokuwa na pensheni.
 
Heri yako mwaya kwani umefunguka na tumekusikia na ukereketwa wako wa kuchukia waislamu na uislamu wao.

ndio ninauchukia uislamu na waislamu tena zaidi ya sana, kwani mimi sio mnafiki kama hao wanasiasa wenu na ushabiki wao wanajifichia kivuli cha dini kumbe wapo kwa matumbo yao.

Unataka niupende uislamu na waislamu kwa jema lipi? Hili la kuchoma makanisa yetu kila siku alafu mnategemea tukasalie wapi? Chooni au bafuni?
Hapa hakuna cha ucadema wala uccm bali ukweli ni kwamba wakristo wote nchi nzima tumechukizwa na uislamu haramu wenu wa kuleta vurugu.
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.

acha udini mkuu..sasa siasa zinaingiaje hapa au ulitaka watu wote wafuraie yanayofanywa na ponda kama wewe.
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.

acha udini kijana cdm inakujaje hapo? Pumbavu
 
CCM inaogopa kivuli chake wenyewe,inaogopa kura za waislam kama ilivyokuwa sensa!!hawana chao..
 
Njiti inayowaka ikitupwa kiustadi mbona inakuwa drowned tu! Unajua conditions 3 zinazopaswa ku-coexist ili kufanya moto? Watu na taaluma zao baba, mtakufa wenyewe.
kumkamata ponda ni sawa na kutupia njiti ya kibiriti kwenye petrol, ponda ndiye kiongozi wetu tutakufa nae.
 
Hapa tumesema mara nyingi udini ni sumu lakini chama tawala kimefanya ndiyo mtaji. Tumewaambia Radio Imaan inahubiri chuki lakini badala ya kuwafungia, serikali inafungia Mwanahalisi linalosema ukweli. Kwa sasa nasikitika kusema ni too late.

Napongeza tu wakristo kwa uvumilivu wao. Lakini serikali ijue kila kitu kina mwisho. Huu uvumilivu ukifika mwisho serikali haitakuwa na la kufanya tena.

Mkuu hapa wakristo tumeshachoka na sasa kitakachofata ni vitendo 2 kwa kwenda mbele.
 
Kwa usemi huu unataka kutuaminisha kuwa ccm ni ya mlengo wa kiislamu?

Back
Top Bottom