Kova: Ongezeko la Maandamano nchini ni matokeo ya viongozi kutowajibika

Tunapofuatilia yanayojiri kwenye Mswada wa kutunga katiba mpya naona kama maneno ya Kova yanathibitishwa kuwa kweli vile
 
good! Hata jana pale tegeta aliwachia wananchi waamue nao polisi wanachoshwa na ujinga wa viongoz wabovu.
 
good! Hata jana pale tegeta aliwachia wananchi waamue nao polisi wanachoshwa na ujinga wa viongoz wabovu.

Kama hisia zako ni za kweli mkuu basi tumekwisha. Kwa sababu wananchi walihangaika sana kuomba ulinzi hadi kwa Mwema lakini hawakupata.
 
Back
Top Bottom