Kova: Maandamano ya DOWANS kesho marufuku!

kwa hiyo hata BAKWATA na BAKWACHA ni ali shababu? wacha umasaburi wewe, mtu hawi al shabu kwa mavazi

Kwani BAKWATA na BAKWACHA ni Wasomali? Mimi nimesema wapi alshababu ni mavazi ya BAKWATA na BAKWACHA? au BAKWATA na BAKWACHA mna sura na mwavaa hivi siku hizi?

al-Shabaab-soldier1.jpg
 
Kova unataka kutuambia Al shabab wapo nchini tayari,na je kama hivyo nvdivyo polisi wamechukua hatua gani?

Hivi anawajua Alshabab au anawaangalia kwenye TV na kuwasoma kwenye gazeti?akawaulize Uganda watampa jibu,na kama iko hivyo hatua gani zimechukuliwa kuzuia mikusanyiko?je ligi ya vodacom itasimama?je mechi ya simba na yanga nayo itaahirishwa?

Hapo wamechemka, je kwenye night club amabazo zinakuwa na watu wengi wamefanya nini kuzuia mashambulio yasitokee?makanisani na misikitini hali ya usalama ikoje?

Hapana hapo naona wanaibeba serikali kwa kuwa wao ni vibaraka wa sisiemu-magamba basi wametafuta mbinu ya kuzuia,kwani naamini ccm lingewashuka.

Jamani wa JF tutafanyaje kuonyesha hisia zetu juu ya DOWANS

exelent unawaza mbali mkuu c wa2 wanawaza kwenye ****** eti kisa al shaabab basi hata mashuleni na vyuoni wasitishe! 2cfike
 
huyu kufikiri kwake naona ni sawa na mtoto wa kindagaten ,sasa vipi kuhusu vyuoni ka udsm, udom,mzumbe c kuna mkusanyiko wa watu wengi au ndo ile danganya watanzania wasiokuwa na upeo wa kufikiri zaidi hapo kova kaboronga au ni uccm umetawala hapo? Waling'ang'ania walipe hilo deni wananch wanapinga hawataki tukiandamana kwa lazima na kuvuruga amani itakuwa poa?
 
safari hii ni kova na sio S Mwemaa tena na taarifa za kiitelejinsia. Hivi Kova anafikiri El Shabab wakibisha hodi hapa sasa hivi hata nyumbani kwake patakalika. hawafanyagi kosa na wakipanga shambuluzi 98% halishindikani. Asitupige changa lamacho katumwa na wakubwa wake. Awaache wenye uchungu na nchi wallie kodi zao.
 
cha kushangaza bos wake MWEMA alitangaza kuwa hali ni shwari kwa upande wa Tz kuhusu El Shabab inakuaje hat masaa 24 hayajaisha Kova anapingana na taarifa ya bosi wake. Anajionyesha kwenye TV ili apelekwe INDIA akatibiwe Kengeza
 
Kova Kova Kova, wewe huishi Mbingunu Kova, wewe tena ni karibu kabisa na Misri, Libya, Tunisia, Malawi, Kenya, Syria, Marekani (Wall Street) na kwingine kwingi. Huoni hata aibu kusimama na kuongea hayo unayoongea? Hivi unadhani ulikuwa unaongea na Mizoga?? Kova ukiwekwa ktk listi ya watanzania walioenda shule na wanaotumia Bongo kupanga na kutoa maamuzi mbalimbali ya nchi hii unaweza kujipima wewe utakuwa wangapi kwa matamko kama haya? Hembu acha umangimeza Kova. Watu tukiamua hakuna atakaye tuzuia, unajifanya unavitisho sana sio? Hivi humuoni Mubarak Rais wa Misri anavyokwenda kwa court ktk machela? Juzi tu umeona Gaddafi alivyofanyiwa kitu safi na hao mnaowakandamiza? Kova Kova Kova, umekwisha.
 
hii ni kuwapa alshabab kichwa mpaka wakati mwingine najiuliza hawa al shabab ni akina nani? mafisadi wetu? na jambo hili lina endelezwa na "kova" maana sioni mantiki ya sisi kwanza kuwaogopa hao al shabab, pili kuonyesha kwamba sisi tuna uadui nao, tatu kwamba tunaweza au tutasimamisha shughuli zetu kwa sababu yao, hii inaonyesha taifa letu, jeshi letu, polisi wetu ni waoga au hatuwezi kupambana na al shabab, wakati huo huo kamati ya ulinzi wanasema jeshi letu lipo imara, wakati kova anataka tuingie chini ya uvungu wa kitanda, nakumbuka tulivyo kuwa wadogo tunapo tishana mvuka mstahiri huu na wewe vuka hapa utaona, moja akifanikiwa kuvuka mwingine anaanza nipige basi utaona
 
Wazee mimi naona kwa kuwa maandamano yetu ya amani yamesimamishwa kwa kuwa hakutakuwa na usalama kwa Tishio la hao 'alshabab' hakuna haja ya kubishana naye.

Sasa kwa kuwa Kova ameshahakikisha uwanjani mechi ya Simba na Yanga ulinzi utakuwa wa kutosha, basi hakuna haja ya kususia mechi ila ni kubeba mabango yetu ya kupinga malipo ya Dowans na kwenda nayo uwanjani . Tukishajaa basi kila mtu anatoa bango lake na kupinga ufisadi.

Tena itakuwa ni advertisement tosha kwa kuwa mpira utaonyeshwa kwenye Television hata wa nyumbani na nje ya nchi nao wataona.

Hii ni opportunity ya kubeba mabango yetu na kutoa message yetu kwa mafisadi.

Mnaonaje wadau?
 
Intelegensia ha ha ha kova umeeleweka sasa solution yake ni nini hapo? Wanyamwezi wapo nchin wamepitia wapi?
 
Kova Kova Kova, wewe huishi Mbingunu Kova, wewe tena ni karibu kabisa na Misri, Libya, Tunisia, Malawi, Kenya, Syria, Marekani (Wall Street) na kwingine kwingi. Huoni hata aibu kusimama na kuongea hayo unayoongea? Hivi unadhani ulikuwa unaongea na Mizoga?? Kova ukiwekwa ktk listi ya watanzania walioenda shule na wanaotumia Bongo kupanga na kutoa maamuzi mbalimbali ya nchi hii unaweza kujipima wewe utakuwa wangapi kwa matamko kama haya? Hembu acha umangimeza Kova. Watu tukiamua hakuna atakaye tuzuia, unajifanya unavitisho sana sio? Hivi humuoni Mubarak Rais wa Misri anavyokwenda kwa court ktk machela? Juzi tu umeona Gaddafi alivyofanyiwa kitu safi na hao mnaowakandamiza? Kova Kova Kova, umekwisha.

Kova..... jinsi nchi idumupo kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna.....!!!! Jifunze kusoma nyakati....!!! Gaddafi na wenzake walianza kama nyie.... hata wakawaita watu 'panya'..... ona panya "walivyo mfanya"
 
Back
Top Bottom