Kova achunguzwe, gorofa analojenga Ilala pesa alipata wapi?

kuwa kiongozi sio lazima uwe lofa. unaweza kuwa na upeo wanguangalia fursa zilizopo na kuzifanyaia kazi ili mradi usitumie mamalaka ulinayo kupata hizo fursa. inawezekana asingekuwa kiongozi angekuwa na mengi.
tumebaki kuangalia nani kafanya nini lakini tayari kujifunza kapata je if legal way tuige if ilegal toshout.
great mind think idea.
 
wewe haikosi ni assistant supretendent of police. Sasa huoni kauli kumuhami kova ni kama una conflict of interest?

Hapo nilikuwa too general LOVI MEMBE nilikuwa nataka ku-draw attention sometime kuna ambao wamezalisha ela kupitia ujasiamali but si kumuhami kova, angalia nilikuwa namjibu mdau Ulukolokwitanga hapo chini
quote_icon.png
By Ulukolokwitanga

Kwa hiyo unahalalisha ufisadi sio kwa kuwa hata humu wamo?? Hii nchi machizi mko wengi sana. Kwa mshahara wa polisi jinsi ulivyo Kova hajafikisha hata mshahara wa 2M, leo utudanganye anakopesheka kwa 500M unatuona wajinga eeeh. Tunaelewa ili ukopesheke lazima uwe na collaterals na uwezo wa kulipa sio tu kila mtu anakopesheka na kwa bongo cheo cha kova hakimfanyi apate mkopo zaidi ya hutu tumikopo tudogo twa up to 20M. Ingekuwa nchi hii inafuatA utawala wa sheria tungemchunguza Kova na kuangalia kodi anazolipa TRA kwa mwaka na kuhusisha na kipato chake na jengo. Kila kipato halali kinatakiwa kuendana na kodi halali. But CCM hawafanyi hivyo kulinda mfumo fisadi wanaonufaika nao





Asante kwa kuniita chizi ila lengo la hoja yangu ilikuwa kubadili mtazamo nguvu ya kupiga ufisadi isiishie kwa viongozi wa juu tu hata huku mtaani kuna watu wa kawaida wanakula bata kwa fedha chafu na jamii kubwa inaona kawaida tena akipita mtaani jamaa yupo safi kuna deal alipiga ila kuna group la watu wakifanya ndio tunawaona wao ndio mafisadi. Inaeleweka ili ukope unahitaji collateral lakini hoja yangu hapa ni kwamba mtu anaweza kuchukua mkopo akafanya biashara ili kukuza kipato then baadae anafanya mambo makubwa lakini sijasema mkopo achukue ajenge mjengo kama huo mdau na ndio maana nikataja na umri wa mtu katika utumishi wake. HOJA HAPA HATA HAO VIONGOZI AMBAO NI MAFISADI KABLA YA KUWA VIONGOZI WALITOKA HUKU TULIPO NA KAMA NDIO TULIWALEA HIVYO JUHUDI ZA KUKEMEA PANDE ZOTE ZIFANYIKE JAPO HUWEZI KUONDOA KABISA. Usiumie kwa kumwita mwenzako chizi wakati sifa ya binadamu ni kutofautiana hoja na ndio maana tunafanya mikutano pia tunakutana humu JF kwani hoja ya mtu hata kama ina mapungufu kuna mwingine anaweza akapata point ya kuboresha (ndio maana tupo humu JF)
 
Back
Top Bottom