KOTI la Mpendazoe lamshinda NAPE

chadema wameibana kila kona ccm..

endelea kufurahisha barza.
hayo maneno si mageni kwangu, eti chadema wameibana kila kona ccm, mara chadema wafanya kweli, mara chadema wazoa mamia ya wanachama wa ccm...ikija kwenye uchaguzi chadema chali, tupa kule
 
Wekeni matokeo kwenye TOVUTI kama mlivyoahidi. Ndiyo maana tunataka katiba mpya.
 
Nape hana hadhi na sifa ya kubishana na Chadema,yeye saizi yake ni wale watoto wa shule ya msingi wilayani Bunda mkoani Mara walio muonyesha ishara ya vidole viwili Mama Salma Kikwete alipoenda kufungua baadhi ya madarasa shuleni pale.Namshauri Nape aende akashindane na wale watoto ndo saizi yake.
 
Kwenye gazeti la Raia Mwema kuna jamaa anajitambulisha kama "Msomaji Raia"
Kwenye gazeti la MwanaHalisi kuna jamaa anajitambulisha kama "Kondo Tutindaga"
Sifa kuu ya hawa waandishi wawili wa magazeti hayo tofauti, ni kuwa wote wanaijua sana CCM.
Sanasana wanamjua sana mwenyekiti wa CHAMA.
Katika wiki hii wote wamezungumzia umuhimu wa "wahaini" wa chama kutemwa,
HApo kwa mbali nikaanza kuona hatima Blaza Nape, nikacheka tu!​

Kikwete amtose nape?
thubutuuu
 
Tatizo la njaa ndio hilo kitu hata kama haukiwezi utakubali ili upate chakula, ndilo lililomkuta nduge yetu Nape
 
Kwa mtazamo wangu nahisi huyo ni mtu mmoja anatumia majina tofauti. Wote walianza kuandika kwenye magazeti husika wakati wa uchaguzi mkuu huyu wa kwa Mwanahalisi alikuwa anajiita mwandishi maalum. Huwa sikosi kuwasoma hawa jamaa kwa sababu huwa nahisi kama anayeandika ni Salim Ahmed Salim, Joseph Butiku, Warioba au Fredrick Sumaye. Ni watu wanoonekana wako karibu sana na wenye "nji hii"

Gerrad kwa nini hao !
 
Nape Hamwezi Dr.Slaa Umenena!Hata ingekuwa ni Boxing wakati nape ni Light weight Dr ni Heavy Weight!Sheria za Ndondi Hawapandi Ulingo Mmoja!
Ila Jamani nilwahi sikia Nape Form Six alipataga Division Zero au Nimechanganya Madesa wakuu
Mnirekebishe
 
Mnirekebishe kama nakosea!
Manake Kunatofauti kubwa sana kati ya Kilaza na Msomi!
Na Ukumbebesha Kilaza Mzigo unamwonea manake mwisha wa siku atumbuka
 
Walimpa kazi ngumu sana, wakati tayari alikuwa na lana ya Makamba ya kufungiwa Duniani na Mbinguni ukiongeza kuwa hata shule hakuenda basi vurugu tupu!

Kumbe jamaa shule hakwenda eeh? Ndiyo maana mweupe vile kichwani.....aiseee.
 
kuna jamaa zake wa chama cha magamba wanasema sifa kubwa ya nape ni mshari sana na anapenda sana umaarufu bila kujali umakini wa hoja zake.
Nayaona sasa anavyobwatuka ovyo ovyo
 
Walimpa kazi ngumu sana, wakati tayari alikuwa na lana ya Makamba ya kufungiwa Duniani na Mbinguni ukiongeza kuwa hata shule hakuenda basi vurugu tupu!

mhh mkuu shule tena? Laana ya kufungiwa? Duh! Kwa maneno yako mazito,nadhani utuandalie special thread maana kama apo patamu hapo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom