kote nimepita lakini hapa natia nanga

std7

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,730
2,630
nimekuwa msomaji wa muda mrefu na leo kwa moyo wangu nimeamu kujitosa jamvini nikae na wenye hekima nami niwe na hekima kwani ndivyo ilivyo
 
tia tia nanga, tia tia tia nanga, tena tia kwa uhakika, usalama na ungalifu kwa kutumia salama za akili yako.
Karibuu sana!
 
nimekuwa msomaji wa muda mrefu na leo kwa moyo wangu nimeamu kujitosa jamvini nikae na wenye hekima nami niwe na hekima kwani ndivyo ilivyo

std7 ...................karibu sana,hakika huku kuna hekima sana,usijali polepole tuu nawe hekima utapata ila fata kanuni.............:behindsofa:karibu sana,karibu sofani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom