CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 686
Habari za asubuhi wapendwa (Kwa wale ambao majira ya sasa ni asubuhi)
Habari za mchana na jioni au usiku (kwa wale wenye majira tofauti)
Natumain, mko salama salimini na mmeanza majukumu ya kazi baada ya weekend vurururu (aka Fiesta)
Sasa nianze mada husika. Hivi inakuaje unatongozwa na mtu, na anakwambia anataka kuwa na wewe, lakini pia anakueleza " . . .nina mke/girlfriend/bf/mume . . . ." halafu wewe unakubali kuwa nae kwasababu kuna kitu unataka kwake (may be kuburudika tu) halafu na wewe una mpenzi wako mwingine hutaki awe na muhusiano na mtu mwingine zaidi yako ???