Kosa ni la Chizi au?

PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
380
45
Wanabodi mimi ninakaswali kadogo tuu kuhusu huyu bwana Chizi na waziri....
Watu wameshikili bango hili jambo bila kujua kiini chake, kwa harakahara tuu ni kwamba Chizi hakujiteu mwenyewe. Kama kazi yake haikufuata utaratibu basi aliyepaswa kuchukuliwa hatua ni aliyemteu na siyo mteuliwa.
Pili hili la kuteuna teuana kwa nini lakini? Hivi hakuna bodi ya wakurugezi?
Na je hakuna kikomo cha uteuzi?

Naishia hapa?
 
Back
Top Bottom