Kosa lile lile?......................why

Hapana kipipi Soulmate wa Mbu yuko gado, yaani hapa ametua moyo kabisaa so usipate presha!

MwanajamiiOne aliiuliza hili wakati akitathmini maisha yake ya kimapenzi huko nyuma. Kwa nini alikuwa ana-make the same mistake!

Usinune wee napenda ukitabasamu, wewe every day..........napenda utabasamu!!! Nimekuelewa sweatheart and am glad uko gado. Infact, mimi penda weye sana na nyuzi zako, zinaniongezea maarifa! Barikiwa sana mpenzi for sharing!!
 
Wakuu, espesheli Mbu na soulmate wake MJ1.
Leo bana niliongea na kishoka flani kutokea Romania ambae CV yake inaonesha mpaka sasa keshamwagwa mara tatu na wanaume watatu tofauti (mmoja kati yao ni muimbaji wa gospel huko kwao) baada ya kumuelezea hii sredi kwa kifupi kwanza alitoka kijasho chembamba, halaf akaomba maji akanywa, halaf akaniomba nimpatie sigara, halaf baada ya rushwa ya fegi jamaa akanipatia maelezo haya.

"Kila binadamu ana udhaifu na Udhaifu wetu mara nyingi ndio unaotufanya tukaachwa kwa kuchagua wenza wasioweza kuvumilia kuishi na udhaifu wetu, kwahiyo kwenye kutathmini mwenza mpya hakikisha kwanza unaanza kwa kutathmini udhaifu wako na badili yake usifikirie sana kutibu udhaifu wako (japo jitahidi) kwani kama ni tabia yako basi unaweza ukashindwa njiani lakini badili yake mtafute mwenza ambae anaweza kuvumilia kuishi na udhaifu wako" mwisho wa kunukuu ( translated version).

Baada ya kutoa ufafanuzi huo, kishoka akadai nimuongeze fegi kwani nimemkumbusha mastress ya long time.
 
Umemaliza kila kitu, no more no less.
 
dawa chungu.......hapo kwenye uvumilivu ndipo kunaleta shida......unakuta unajitahidi kuvumilia udhaifu wake lakini udhaifu wako kwake kosa.... ndio uliopelekea hata huyo kishoka akabadili wamefika 3
 
Blaki womani bila mkorogo,
kama umemsoma vizuri kishoka ameegemeza habari yake zaidi kwa anaetafuta na ambae ndie alieumizwa kwenye past mahusiano. Kwavile muumizwaji tayari anajijua nafsi yake, yeye anasisitiza zaidi muumizwaji ili asiumizwe tena basi amsome mwenza wake espesheli kwenye hiyo idara ya kuvumilia udhaifu wa muumizwaji.

Nina mpango wa kumfata tena afafanue zaidi lakini dah! anapiga virungu vya fegi sana bana. Anatisha!
 
....khaaa,

aisee umenipiga madongo ya uso! truth hurts...!
Sina la kupinga juu ya hili,...haya lete invoice sasa tumalizane.
 
dawa chungu.......hapo kwenye uvumilivu ndipo kunaleta shida......unakuta unajitahidi kuvumilia udhaifu wake lakini udhaifu wako kwake kosa.... ndio uliopelekea hata huyo kishoka akabadili wamefika 3

Blaki womani bila mkorogo,
kama umemsoma vizuri kishoka ameegemeza habari yake zaidi kwa anaetafuta na ambae ndie alieumizwa kwenye past mahusiano. Kwavile muumizwaji tayari anajijua nafsi yake, yeye anasisitiza zaidi muumizwaji ili asiumizwe tena basi amsome mwenza wake espesheli kwenye hiyo idara ya kuvumilia udhaifu wa muumizwaji.

Nina mpango wa kumfata tena afafanue zaidi lakini dah! anapiga virungu vya fegi sana bana. Anatisha!

...KHAA?!

nyie watu nyie leo mmeamkia wapi mnamwaga mapwenti namna hii mwisho wa wiki?
mnajua kuna wengine wanaoana kesho bila kuyajua haya...sasa nimeamini msemo huu "The more mistakes one makes in life, the smarter one gets in life" japo unatugusa moja kwa moja kwenye maisha ya mapenzi, hatupendi kuutumia...

ila, najiuliza.....
kwakuwa anajikubalisha mapungufu yangu (sijui atavumilia kwa muda gani yarabi,) itanilazimu na mie nijikubalishe mapungufu yake? au hii formula ina uzani upande mmoja tu?

moskito............hapo ndio mizani inatakiwa i balance...(je yawezekana)
khaa hii sredi inazidishia machungu natafakari bila majibu......

.

ila, najiuliza.....
kwakuwa anajikubalisha mapungufu yangu (sijui atavumilia kwa muda gani yarabi,) itanilazimu na mie nijikubalishe mapungufu yake? au hii formula ina uzani upande mmoja tu?

Mbu wa malaria,
Unajua wapo wachache lakini amini wapo watu ambao mpaka leo hii wanaamini kwamba kuvumilia udhaifu wa mwenza wako basi unapata thawabu na kwa maana hiyo sio wanavumilia tu bali wanatafuta hasa mwenye udhaifu ili wamvumilie na wajizolee hizo thawabu hii inamaanisha ukimpata kama huyu basi hatochoka kukuvumilia kwa madhaifu ya kibinadamu. Ila suala je wanapatikana wapi na wanatathminiwa kwa vigezo gani? hehehe MJ1 atajibu hii.

Tukija upande wa pili wa suala lako. Kumbuka wewe tayari ulishatendwa na ukavumilia na ukirefer maelezo ya kishoka niliyoyatoa awali ni kwamba tayari ushajitathmini, hivyo kwako ni rahisi sana kulipa fadhila na kuvumilia udhaifu wa mwenza wako ambae kwa sasa utakuwa unamuona kama ameshushwa toka paradiso kwa anavyokuvumilia, ukimlinganisha na wa awali.
Nilitaka niandike kamsemo flani kwa kiingereza lakini kadikshineri skaoni .
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom