kosa langu ni lipi kwa msichana huyu!!?

Lol! Mwe! Haya, karibu jamvini. Post ya kwanza kwako lakini ina akili kwelikweli. Nashukuru kwa kujiweka wazi kuwa wewe ni She. Hiyo red nimeipenda sana
we mtake radhi mwenzio unamuita she na wakati maelezo yake yanaonyesha ni he? utajakutana na visiki vya mpingo siku moja na sijui utatoka baru!
 
kaka sikiliza wewe jifanye upo bize akibp usipokeee wala nn atakuja mwenyewe tu huyo mbona wakooo!
mwenzio Shem wako alinisumbua kinima 10month,zen nikimuelezaga siku hizi huwa anacheeeeeka ndio kawaida ya wasichana wa makabila yafuatayo,Mchaga,Mzigua,Mbondei,Msambaa,Mrangi,Mhaya na Mmasai
Atajifanyaje yuko busy wakati hayuko busy na ndo maana anamfatilia kwa miezi yote hiyo. mi nafikiri kaka una nia njema na binti na ndo maana hujakata tamaa, watu wengi hapa watakupoteza ukiwasikiliza. mi nakushauri umuite binti mkae chini mdiscuss issues kwa uwazi, sema matarajio yako na yeye aseme yake, from there fikieni mwafaka mnataka nini then tupe feedback. All the best.
 
hivi huyo dada kaambiwa wanawake wooote wameisha hapa Tanzania na dunia nzima??
hivi hajui idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume atakula wa chuya :)
 
.infact nimejitahidi kuwa cooperative sana espacial anapakuwa na matatizo,ninajitahidi kumsaidia na ku-care kadri niwezavyo.
Pole mjomba hapa ndipo ulipoingia chaka kabisa, hutakiwi kufanya hivi na hata akikubali kuwa mke wako utalia, atakutaka utakapokuwa na fwedha tu otherwise utajuta, utakuwa unaruka ukuta kurudi nymbani kwanza saa mbili usiku tu. Ingawa ndio tunafanya wanaume wengi lakini tunakosea kusema kweli. Yameshatupata haya mkubwa
 
Back
Top Bottom