kosa langu ni lipi kwa msichana huyu!!?

jackson27

New Member
Oct 2, 2009
4
0
mimi ni kijana nimeshamaliza university na ninafanya kazi ktk benki mojawapo hapa dar.nimetokea kumpenda binti ambaye mpaka sasa anasome chuo.To be honest siku nilipomwona "i thought i meet with my soul mate".nikaanzisha mazoea naye ya kawaida kwanza,baada ya muda nikamweleza ombi langu "in a honest" way kabisa sikutaka kudanganya.akasema haiwezekani(si unajua tena dada zetu kwa mara ya kwanza!!!!?)nikaendelea ku-insist akadai nimpate muda zaidi.infact nimejitahidi kuwa cooperative sana espacial anapakuwa na matatizo,ninajitahidi kumsaidia na ku-care kadri niwezavyo.Lakini amekuwa akibe-heavior tofauti mara hapatikani kwenye cmu pasipo sababu inayoeleweka,mara hapokei cmu.nikiamua ku-kaa kimya anaanza ku beep!.jibu kamili hatoi.huu mwezi wa nane.nipo kwenye dillema!!
ushauri wadau.
 
cha msingi mkalishe huyo binti umuulize kwa undani kama anakupenda au laa,kama hana bwana mwingine kwani yaelekea ana mtu mwingine pia na hajaamua kuwa na wewe, all in all japo ukweli saa nyingine unauma lakini akupe ukweli ili uweze kufanya maamuzi!
 
Uncle Jackson huyo dada bwana inaonekana hajakuzimia miezi nane bado anakuzungusha tuu! halafu ni mwanafunzi wa chuo.....honestly i would advise you to hit the road and get a life search for another soul mate huyo kama was into you angekukubali siku nyingi lakini mpaka sasa bado inaonyesha crystal clear kwamba hajapenda kuwa nawe. halafu na hiyo biashara ya kukubeep ukikaa kimya ndo mambo yao hao wasichana wa vyuo most of them. move on na maisha yako.utapata tu mtu mwingine atakayekujali keep searching hata humuhumu JF unaeza pata.good luck!!!
 
Hahaha! Naona hujawajua vema wana wa humu. Lol! Unaweza kupewa kideti na janaume jenzio we unadhani unachati na demu. Jackson endelea kutafuta hukohuko, JS hakutakii mema.
 
Mazee huyo Demu lazima kuna mtu kazuia hapo, ndo maana unaona hayupo serious na wewe pengine huyo jamaa kesha propose so demu ana uhakika na huyo jamaa yake, kikubwa angalia asije kukufanya ATM mazee akakutumia tuu halafu akakuacha pabaya, km angekuwa yupo single sign zote ungeziona mkuu lkn kwa sasa jaribu kuangalia upande mwingine huyo atakupotezea muda tuu
 
Hahaha! Naona hujawajua vema wana wa humu. Lol! Unaweza kupewa kideti na janaume jenzio we unadhani unachati na demu. Jackson endelea kutafuta hukohuko, JS hakutakii mema.

Crispin unanipeperushia kandege kangu hivi hivi nikikuona jamani sawa utaona!!!!
 
Crispin unanipeperushia kandege kangu hivi hivi nikikuona jamani sawa utaona!!!!

Kwani wewe ni he au she? Unaweza kuta Jackson ni she! Hujawajua wanachama vema nakuhakikishia.
 
Kwani wewe ni he au she? Unaweza kuta Jackson ni she! Hujawajua wanachama vema nakuhakikishia.

huyo ni he alivyojieleza atakuwa he kama ni she halafu kaeleza kama he basi ni mwehu na hapaswi kuomba maushauri ya wanaJF.
 
Mwana get off road, som1 is in. We mkaushie hata akikubip usikol wala nin, ila akizidi kubip mkol then muulize kwa sauti ya kujiamini ka yupo tayari kuwa nawewe au, akileta pozi take it as NO.
So don' waste your time for nothin. hao ndo wanawake wa kileo kaka
 
huyo ni he alivyojieleza atakuwa he kama ni she halafu kaeleza kama he basi ni mwehu na hapaswi kuomba maushauri ya wanaJF.

Haya tuendelee. Ugomvi utauanzisha mwenyewe.
 
Aaah huyo demu ni ordinaly in an extra ordinaly world,analeta rangi rangi katika hii dunia ya sasa,nakushauri achana nae,i know you have so many steps 4 your climb,ukicheza nae huyo anaweza akakugeza ATM machine,coz ndio michezo yao hao watoto thats y we just hit em with a magic stick and take a good run,asikuletee mbwembwe achana nae,akijileta kula tunda then achana nae hafai kuwa mke mtu wa dizaini hiyo,pia soon and very soon you have to quit those so called misaada coz hajui umuhimu wake!!
 
Ukishaona mtu anakuletea pozi elewa hapo huna chako,hakuna sababu ya kuendelea kupoteza muda,miezi nane hupewi jibu la uhakika na we unaendelea tu kumfatilia,kaka huna kazi zingine za kufanya?
Mimi huwa nawashangaa sana nyinyi wakaka unakuta dalili zote kuwa hutakiwi umeshaonyeshwa lakini unaendelea kupoteza muda,hivi kwa nini huwa mko hivyo? hivi nishindwe kukupa jibu kwa miezi nane nawe umetulia tu unaendelea kunifukuzia na sikupi jibu la maana huoni kuwa unapoteza muda? Tena hivi huyo hata akija kukubali kaa ukijua atakutesa,ushauri wangu ni huu tafuta ustaarabu wingine.
 
mwanangu kula koan tu hyo dem anakuzingua,arafu unavyozidi kumfuata fuata unampa kichwa atajiona ye malkia,we kula kimya tafuta mutu mwingine.kama angekua anakupenda miezi8 nane ingetosha kunfanya awe wako.
 
Jack wake up my friend FYI wewe ashakufanya buzi huyo mtoto tena wa chuo ndio balaa zaidi ana jamaa yake hukohuko chuo wanakuchuna. check kuna thread moja hapa jamaa ana kabinti kana miaka 16 kana bikra kameshakubali jamaa akalee hayo ndio mambo.

Mpe live huyo binti ukamege akikataa mwambia biashara imekwisha na simu akome kukupigia hata credit usimtumie tena utapata ukweli kama anakuhutaji ama lah hata mimi ilitaka kunitokea hiyo nikatumia njia hiyo na demu nilimega hadi akatulia bravooo
 
mimi ni kijana nimeshamaliza university na ninafanya kazi ktk benki mojawapo hapa dar.nimetokea kumpenda binti ambaye mpaka sasa anasome chuo.To be honest siku nilipomwona "i thought i meet with my soul mate".nikaanzisha mazoea naye ya kawaida kwanza,baada ya muda nikamweleza ombi langu "in a honest" way kabisa sikutaka kudanganya.akasema haiwezekani(si unajua tena dada zetu kwa mara ya kwanza!!!!?)nikaendelea ku-insist akadai nimpate muda zaidi.infact nimejitahidi kuwa cooperative sana espacial anapakuwa na matatizo,ninajitahidi kumsaidia na ku-care kadri niwezavyo.Lakini amekuwa akibe-heavior tofauti mara hapatikani kwenye cmu pasipo sababu inayoeleweka,mara hapokei cmu.nikiamua ku-kaa kimya anaanza ku beep!.jibu kamili hatoi.huu mwezi wa nane.nipo kwenye dillema!!
ushauri wadau.

Mikogo miingi halafu nusu nusu, ukiwa unaongea na demu mjanja kama unavyoandika si ajabu akikutosa.
 
Anakuletea gozi gozi tu huyo, kama hata kupokea simu anaona shida mie naona hana mpango na wewe huyo.Penzi likiwa changa mtu unatamani kuongea kwenye simu na bf muda wote sasa yeye kama naleta pozi kwenye mawasiliano mie naona hakuna kitu hapo.
 
Mkuu, kusema ukweli kwa hali yako, nadhani huyo msichana hayuko serious na wewe mkuu. Cha muhimu mwite, muulize tena kama ulivomuuliza mara ya mwanza kama anakupenda au la,,

jingine, usijihusishe na kumsaidia saidia kwenye mambo yake uone hali itakuwaje...maana inaonekana anakubeep pale anapoona hatari ya wewe kupool out kifedha...sasa angalia usije kuwa ATM eti kwa vile upo benki!

Kama angekupenda ki hivyo angeonyesha ushirikiano lakini kwa hili...hapana...miezi nane!
 
Mkubwa nadhani hapo inabidi kuwa mjanja sana hasa sisi watoto wa kiume ina maana yaani mpaka leo hujajua tabia za mademu au???Achana nae huyo hamna mpango wowote......unakaa nae miezi 8 alafu hamna jibu la maana si ni ajabu hiyo??
 
Back
Top Bottom