Kosa kwa Wabunge kuwagharimu...

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
799
603
Moja ya Sababu zinazowanyima baadhi ya wabunge usingizi ni ile kuongea mambo tofauti na maendeleo ya jimbo lake tu Bungeni wakasahau mwananchi wa jimbo lake alimpigia kura ili asaidie maendeleo ya Jimbo na sikupigia kelele mambo mengine kwanza matokeo yake Wananchi wamekuja juu, wanauliza miaka yote ya ubunge umefanyia nini hili Jimbo?

Hapo ndio 2015 watu watakapokuwa chaliiiii.....................asubuhi njema waelewa.
 
Security Guard na Wana JF,
Sio lazima Uchangie au Utoe Mada, Unaweza ukawa Msomaji tu,
Inaonekana Umekurupuka tu, Umekurupushwa nini ??
Inawezekana ulikuwa na Point nzuri ila Haujajipanga, Pili watuumiza macho
Nawakilisha


Moja ya Sababu zinazowanyima baadhi ya wabunge usingizi ni ile kuongea mambo tofauti na maendeleo ya jimbo lake tu Bungeni wakasahau mwananchi wa jimbo lake alimpigia kura ili asaidie maendeleo ya Jimbo na sikupigia kelele mambo mengine kwanza matokeo yake Wananchi wamekuja juu,wanauliza miaka yote ya ubunge umefanyia nini hili Jimbo??? hapo ndio 2015 watu watakapokuwa chaliiiii.....................asubuhi njema waelewa.
 
Tatizo viongozi waliowengi hapa nchini si viongozi bali ni watu wapenda madaraka tu.Kwani kiongozi lazima atimize wajibu wake hasa kwa watu anaowaongoza na si kuangalia maisha yake.
 
Back
Top Bottom