Kosa gani hutoweza kumsamehe mpenzi wako ?

Apigwe style zote na 'mwizi' wangu, ila ole wake nisikie kwamba huwa anapigwa 'chuma mboga', walahi sintamsamehe maana mie naona hiyo ni style maalumu kwa ajili yangu tu!
 
Embu dadavua hapo, akicheza mpira gani nje? Football, basketball, akaenda kucheza ligi kuu ya uingereza labda. . .funguka jane000
Umenitisha ndugu yangu, mpaka hapo kishafunguka akiendeleza zaidi atawafungua macho makinda wanaovamia jukwaa @ jane_000 yap mechi za nje inatakiwa asisamehewe.

  • :poa
 
endapo atanigeuza kuwa mpira wake wa kuupiga kila siku, japo kwa kabila fulani ndy chachu ya mapenzi...
 
aki cheat ntamsamehe,cz ther r many rzone why men do cheat so al cheat back, nikigundua anabatuliwa na vidume wenzake, nikigundua hanipend, akitaka tigo.
 
Date ya kwanza... nitalock mlango wa upande wa dereva. Nitamfungulia mlango upande wa abiria, akishaingia na kukaa nitafunga mlango.
Nitaelekea upande wangu wa dereva.... kama haja-unlock mlango..... namtimua ndani ya gari langu. Na sitaki kusikia lolote toka kwake!!
 
Tutataja xana lakin kama cc sote wana jf twaamin Mungu wa kwel yupo, HAKUNA KOSA LISILOSAMEHEKA kwa mana sote tu wadhambi!Msamaha ndio dawa na suluhsho la kweli,jiulze utafkuza wangap iwapo kla unaeoa/olewa nae anafanya kosa lile2?
 
Ni kosa moja. Lile ambalo hawezi kunisamehe nikilitenda naye akilitenda siwezi kumsamehe.
 
Back
Top Bottom