Kosa gani hutoweza kumsamehe mpenzi wako ?

Akishindwa kuthamini na kuutambua upendo wangu.. out., siwezi kuwa na mpenzi asiye jali.
 
Ndugu,

1. Akitoa pendo langu kwa mwingine
2. Akijaribu kuniloga kwa njia yoyote
3. Akijaribu kuniua au kuua watoto kwa njia yoyote
4. Akitukana wazazi wangu (Baba & Mama)

aisee haya mawili kwenye nyekundu kuna mshkaji wangu yameshamtokea na akamsamehe mkewe kabisaaaa wa ndoa!!
 
kuna jamaa moja alikuwa akimla tigo mkewe yule mwnmke akaona hawezi vumilia akaondoka.mwaka wa sita huu hajarudi na Hataki kusikia tena issue ya ndoa.ss hivi huyu mume anahangaika sana na watt coz alimwachia watt msisikie nyie kukimbiwa au kuachwa tena na wako wa ndoa inatesa kweli na watt ndo wanaoumia
 
kuna jamaa moja alikuwa akimla tigo mkewe yule mwnmke akaona hawezi vumilia akaondoka.mwaka wa sita huu hajarudi na Hataki kusikia tena issue ya ndoa.ss hivi huyu mume anahangaika sana na watt coz alimwachia watt msisikie nyie kukimbiwa au kuachwa tena na wako wa ndoa inatesa kweli na watt ndo wanaoumia

Habari yako SG huyo mliwa tigo nae ana mambo si alianza kutoa mwenyewe!
 
kuna jamaa moja alikuwa akimla tigo mkewe yule mwnmke akaona hawezi vumilia akaondoka

alisubiri mpaka aliwe tiGo ndiyo aondoke au alitaka concrete evidence tiGoni? kama alikuwa hataki si angekomaa tu moja kwa moja na kuondoka bila kufanya?
 
Huku kwetu znz wala hatuna shaka na kutoa tigo si unajua majirani lazima wasaidiane na mara nyingine wanakuwa wanaoneana wivu
 
nitajua siku ikitokea,..
Pale sababu za makosa zikiwa tooooo stupid to justify alichofanya then hapo msamaha ni ngumu.
 
wana jf kosa gani linaweza kukusababisha usimsamehe mpenzi wako kwaupande wangu mimi aki cheza mpira nje ndio sitoweza kumsamehe hata siku moja

Nitamsamehe kwa kila kosa atakalofanya kwa vile katika Biblia imeandikwa samehe saba mara sabini. Pia yeye ni binadamu so katika hayo makosa yote nitajitaidi kumrekebisha. Kikubwa hapo kamwe sitokubaliana nae ktk kufanya makosa kama vile Kupeana TIGO, Ushirikina, kuua n.k.
 
Back
Top Bottom