KORA 2016: Wapigie Kura Wanamuziki wa Kitanzania

JF live longer!
Wasanii wetu pongezi kwenu na hakuna namna mtaSHINE wherever you GO & CONTEST... LAZIMA WAKAEEE!!
TANZANIA MBELE KWA MBELE!!!
 
Kweli maana wanaija walishazoea kila kitu wao hapo mwanzoni, sasa challange flani flani zinaibua sana vimaneno, vitu vinavyofanya kijana akomae sana kuwaprove wrong
umeona hapo mkuu,yani Mungu ajaalie at least Tz vipatikane vichwa tano tu vyenye hasira kama za dogo chibu halafu wapo serious kabisa na kazi,lazima dunia iseme..."hivi tz ilikuwa inachelewa wapi kwenye kuutawala huu mziki Afrika?"...sasa lskini tatizo linakuja kuwapata hao wasanii serious kama chibu ni changamoto kwa kweli.
 
Hahaha huyo team kiba na wema katika ubora wake, hawajui chochote zaidi ya kuponda alipo chibu dangote na kuangalia in my shuz ya wema sepetu, sijui lipstik zake kanunua hahahaha
nawaelewa hawa mkuu pwiloz type,saa ivi kuna mmoja miongoni mwao anajiita Playboy baab,huyu ni miongoni mwa wale wale tuliowazoea hapa jf ambao kiuhalisia hawazidi saba(7),ila wanapenda kujigawa katika IDs nyiingi kama ameoba ili tuwaone mashabiki wa bushman kuwa wapo wengi eti.
 
Wakati mkipiga kura mmkumbuke Le Grand Mopao, Quadra Koraman, Charles Koffi Olomide, mwanamziki pekee wa DRC kuwahi kunyakua tuzo nne za Kora kwa wakati mmoja. Tena wakati huo Kora ni Kora kweli. Acha sasa ambapo kuna tuzo nyingine maarufu za MTV.
 
Kunawatu bado sijawaona kwenye uzi huu.

Jamani kujeni wote tuwagongee ndugu zetu wanyakue mikwanja hiyo especially kwa Mpoto, Mdee, Daimond wenye uwezekano wa kuchukua Bilioni mbili.

Please mambo ya mimi timu gani sijui.. huyu timu gani sijuiii.. kwamba Siwezi kumpigia kura tuyaweke pembeni angalau kwa Tuzo hizi wakuu.

Ushindi kwa vijana wetu hapo juu ni ushindi wetu sote na tukishindwa tumeshindwa wote pia kama Taifa!! Wenzetu kwenye Nchi zao huko wameunganisha nguvu kwaajili ya wasanii wao, nasi tufanye hivyo.

Mkuu Jamiiforums ingekuwa poa sana pia kama ungetuwekea washindani wetu kwenye group la kila Msanii wetu hapo juu.

Viva Tanzania Vivaaaaaaaaa.

BACK TANGANYIKA
 
hivi category ya artist of the year africa nzima bado hawajatoa tu nominees,maana mshindi hapo atalamba dola MILIONI MOJA
 
Haya mambo ya piga kura,kuna mwaka nilimwona Waziri Mkuu wakati huo Pinda akihamasisha Watanzania tupige kura Mount Kilimanjaro uingizwe katika World Guiness book ukishindanishwa na Table Mountain wa CAPE TOWN ambao upo sawa na Meru Mountain..sisi tulipata kura chache na wao na Table yao walishinda toka hapo hiii michakato ya kura naona ipo kisanii zaidi...ukiangalia uharisia haupo Kabisa kufananisha Table Mountain na Kilimanjaro...
 
Haya mambo ya piga kura,kuna mwaka nilimwona Waziri Mkuu wakati huo Pinda akihamasisha Watanzania tupige kura Mount Kilimanjaro uingizwe katika World Guiness book ukishindanishwa na Table Mountain wa CAPE TOWN ambao upo sawa na Meru Mountain..sisi tulipata kura chache na wao na Table yao walishinda toka hapo hiii michakato ya kura naona ipo kisanii zaidi...ukiangalia uharisia haupo Kabisa kufananisha Table Mountain na Kilimanjaro...

Msanii yupo kwaajili ya watu..Kuna mlima bila watu ila huwezi kuwa msanii bila watu/mashabiki, kwahiyo utambue ni vitu viwili tofauti...

Na hizi tuzo hazina ukubwa sawa, kuna nyingine ni ndogo ndogo na hazina heshima ndio maana hata kwenye music sio tuzo zote wasanii wanazipa uzito kama kuomba kura na kuhudhuria. Ndio maana hapa imeletwa thread ya KORA awards na sio CHAKUBIMBI awards

Msanii yupo kwaajili ya mashabiki na ndio wanaomtengeneza ndio maana wanaruhusu upigaji kura ila kwa tuzo nyingi, kura za mashabiki zina nguvu ya 30% na zinazobaki za majudge ambao huwa wanakuwa wadau wa Sanaa mbalimbali (kwasababu kitu kinaweza kuwa bora afu watu wasikipigie kura, kwahiyo majudge watabalance hill na mshindi halali atapatikana tu. !)
 
Tunawatakia kila la kheri.

Sema hapa kura zetu zitagawanyika
 
Mkuu Kidingi umesema kuna Mlima bila Watu unamaanisha nini nachosema mimi nilikua mmoja wapo niliopigia kura Mount Kilimanjaro na kwa uhalisia tuu huwezi kulinganisha klm mountain na Table mountain ambao unapanda kwa masaa mawili kwenda na kurudi ufananishe na huu ambao kuupanda unachukua siku Kadhaa tulipigishwa kura na Tulishindwa katika kitu ambacho havipo sawa kabisa mkuu..
 
Ntawapigia Wote ila sijaj UA Kwa kila SMS ntakatwa bei gani,hongera Wote mlochaguliwa kutuwakilisha,m n team kiba ila hapa habar za vjembe tunaweka pemben show love kwa daimond tanzania tubebe haya madolali na matuzo
 
Kora-2016.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom