Koo zingine zimetokana na Nyani.

Bra-joe

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,562
986
Mtoto mmoja alimuuliza mama yake, " binadamu tumetokana na nini"? Mama yake akamjibu, "zamani binadamu wote tulikuwa nyani, halafu nyani wale wakawa wanabadilika kidogo kidogo mpaka wakawa binadamu unaowaona sasa."baadaye akamuuliza Baba yake swali lilelile, baba yake akamjibu "hapo mwanzo wa Dunia Mungu aliwaumba Adam na Eva, halafu hawa walizaana mpaka wakaijaza Dunia." Mtoto akaguna, kisha akamuuliza tena baba yake, "mbona mama ameniambia binadamu tometokana na nyani? Baba yake akamjibu, "mimi nimekueleza historia ya ukoo wetu na mama yako alikueleza historia ya ukoo wao."
 
Back
Top Bottom