Kontena mbili za meno ya tembo toka Tanzania yakamatwa

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
kwa mujibu radio ujerumani,idhaa ya kiswahili leo mchana.vipande mia saba vya meno ya tembo yenye thamani ya USD MILIONI MOJA vimekamatwa nchini malaysia vikiwa katika shehena ya kontena mbili wakati ikiwa njiani toka daresalaam tanzania kupelekwa nchini china.

Mama wee na hao wachina kumbe wezi? sasa lilitokaje dar mpaka likamatwe nje ya nchi! haya kikwete juzi tu umesema umechoshwa na wala rusha, hiyo hapo sasa. Tunataka kuona watu wanasimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani.

Hii hatari sasa!! Inawezekana iko kwenye diplomatic agreement kati ya Tz na China. Mwaka jana Hongkong kulikamatwa mzigo kama huo, Vietnam pia. Tunajichimbia kaburi sie wenyewe!

si juzi tu hapa kulikamatwa lingine???inakuwaje kila siku meno ya tembo wetu tu ndo yanakamatwa na hawajibishwi mtu jamani??? ulegelege umezidi....aaarrrgghhh

Duh hadi JK aondoke sitashangaa kusikia tembo na faru wametoweka nchini

Wachina siyo wanao winda kiharamu Tembo na faru,wao ni wanunuzi.
Waarabu na wahindi ndiyo wanao husika katika uwindaji na usafirishaji,
wakishirijiana na mafisadi walioko serikalini.

Mama wee na hao wachina kumbe wezi? sasa lilitokaje dar mpaka likamatwe nje ya nchi! haya kikwete juzi tu umesema umechoshwa na wala rusha, hiyo hapo sasa. Tunataka kuona watu wanasimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani.

Unashanga nini? Ikiwa wanauwezo wa kuingiza Ndege na kubeba wanyama hai watashindwa kuchukuwa mizoga? Kwa ujumla dili kama hizo zinachezwa Magogoni kwa Fisadi Papa lenyewe

Wewe kweli baba sufuri, hivi hapa Tz kuna mchina TANAPa, eaport, bandarini au TRA?, wachina wamepelekewa na ndugu zako.
Mama wee na hao wachina kumbe wezi? sasa lilitokaje dar mpaka likamatwe nje ya nchi! haya kikwete juzi tu umesema umechoshwa na wala rusha, hiyo hapo sasa. Tunataka kuona watu wanasimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani.

utashangaa pamoja na haya yote kukamatwa, hakuna watu wa usalama wa taifa waliowajibishwa

nchi hii sasa imekua kama mandazi tu

Hivi wale vinyonga wa matombo walokamatwa japan majuzi issue yake imeishia wapi?

Waliokamata uzeni mpate chochote. Mkileta Tz Msitegemee haki kutendeka, hapa hakuna uwajibikaji, wala uwashilishwaji huyuhuyu mkuu wa kaya mtakayemletea atatafuta wateja tena wale nafuu kuliko hata wa huko. Uzeni mpate mgao wa rasilimali zenu.

Mama wee na hao wachina kumbe wezi? sasa lilitokaje dar mpaka likamatwe nje ya nchi! haya kikwete juzi tu umesema umechoshwa na wala rusha, hiyo hapo sasa. Tunataka kuona watu wanasimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani.

Kwa hilo mkuu jk awezifanya kitu cha kuwabisha watu labda kingine

Mhhh,

Tz yetu naona kama ina laana,

Kesho sitashangaa kusikia wanasakwa waliotoa taarifa zilizosababishwa mzigo wa vizito kukamatwa!

Hivi jamaa aliyevujisha barua ya Jairo bado yuko salama au walishamkolimba???

Janaaaaaaa c juz
Mama wee na hao wachina kumbe wezi? sasa lilitokaje dar mpaka likamatwe nje ya nchi! haya kikwete juzi tu umesema umechoshwa na wala rusha, hiyo hapo sasa. Tunataka kuona watu wanasimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani.

Mama wee na hao wachina kumbe wezi? sasa lilitokaje dar mpaka likamatwe nje ya nchi! haya kikwete juzi tu umesema umechoshwa na wala rusha, hiyo hapo sasa. Tunataka kuona watu wanasimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani.

hawez kufanyahvyo kaka.

Wachina siyo wanao winda kiharamu Tembo na faru,wao ni wanunuzi.
Waarabu na wahindi ndiyo wanao husika katika uwindaji na usafirishaji,
wakishirijiana na mafisadi walioko serikalini.

Yes, .. ambao wooote ni wanachama & sponsors wa ccm.

Back
Top Bottom