kono kono.......

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,707
IMG_0053.jpg
wenzetu waghana wanakula hii kitu,hapo sokoni wanauzwa....buku tano za kitanzania mmoja lol
 
he kumbe na watanzania mpo mnaokula?lol nilijua waghana na wachina pekee ...lol
 
Kila siku asubuhi Magufuli anapiga Bakuli MOJA LA SUPU ya hawa jamaa..........ndio maana anateleza tu maneno...........sina uhakika sana lakini nadhani na Nape Yumo...................
 
Mimi ninakula wale wa baharini, lakini hakuna tofauti na hawa. Very delicious!!
 
he kumbe na watanzania mpo mnaokula?lol nilijua waghana na wachina pekee ...lol
wewe hauli kwa sababu umeikuta jamii inayokuzunguka hawali. Ungekuwa umezaliwa China labda na wewe ungekuwa mlaji mzuri sana.
 
Full mafuta mishkaki yake tunauza sana maeneo ya rozana,sheli watu waisifu sana mishkaki hii.
 
lol itabidi niwatafute niwaonje na mie,mnaokula mnapikaje...? hamuogopi?lol
 
aisee hii kitu ni nzuri sana kwa afya na hasa kwa wale wenye 'mtindio wa nguvu za kiume' inarudisha na kuboresha urijali! kule kwetu wazee hata wa miaka 85 ni balaa usipime,marehemu babu yangu ameacha baadhi watoto wake (baba wadogo na mashangazi) ambao wananiamkia shikamoo!
 
Back
Top Bottom