Kongosho, naomba ....

...uni PM na unipe jina lako halisi na namba yako ya simu tafadhali!

Kabla wambeya hamjaanza umbeya wenu kunitaka nitoe jina langu halisi: mie nawapa majina yangu kamili, naitwa Ini Mtoboasiri!

Kijana shika adabu yako,ukiona ngedere mjini ujue kaletwa,hivi wewe kumwona kongosho kwenye harria,miwani ray ban orijino,wanja la ukweli,mi gold kifuani na masikio,ukaona umepata eh?
Ukiona vyaelea.........
 
he he he, wee jemedari la kihaya upo???

Umepotea sana, hadi nkaogopa.

Bora umenitetea.

wee mtoboasiri, unanitakia nini mie mke wa mtu?

Majina yangu matatu ni Kongosho Lutanigwa Lutasagwa.

Hata mie ni mume wa mtu, kwa mantiki hiyo tukiwa pamoja tunakuwa mume na mke wa watu! Kuna ubaya gani hapo?
 
he he he, wee jemedari la kihaya upo???

Umepotea sana, hadi nkaogopa.

Bora umenitetea.
Nilikuwa marekani kwenye mkutano wa G8.
Niaje lakini ?
Kulikoni siku hizi unasarandiwa na masakapoko,umeshuka gredi nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom