Kongosho na lizzy nawapenda kupita kiasi

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
Wana jf habari zenu natumaini hamjambo .jamani tangu niingie jf nafurahia sana raha ya humu, hata facebook nilishaipiga chini, muda wote niko jf maana napata uptade za maisha ,furaha na mapenzi kila muda . NDUGU zangu wanajf nawapenda wote wana jf lakini nawazimia sana lizzy na kongosho ,nikisoma post zao navuta hisia mpaka napata sura zao, sana sana napenda post zao najinsi walivyo active. Jamani wakuniponda uwanja wenu ila matusi hayaruhusiwa humu,na je munaonaje hizo machine mbili kongosho na lizzy
 
Mbona hao watu mi siwapendi ! Hembu nnong'oneze ulichowapendea saa hizi wamelala hawatosikia hembu nena! Labd namie ntawapenda.
 
Hahahahaha! Ivuga bwana!
Mwali mwenyewe anawapenda wawili hao kuliko maelezo!

najua sana ,kuna mtu kaniudhi jamani eti yeye kajiunga JF hana hata post moja kavamia wall page yangu kaandika anafauta mchumba eti. nimechukiaa
 
Duh, ndokeji asante kwa kunipenda
Ila umesema mie mashine? Nasaga au nakoboa?
 
Wana jf habari zenu natumaini hamjambo .jamani tangu niingie jf nafurahia sana raha ya humu, hata facebook nilishaipiga chini, muda wote niko jf maana napata uptade za maisha ,furaha na mapenzi kila muda . NDUGU zangu wanajf nawapenda wote wana jf lakini nawazimia sana lizzy na kongosho ,nikisoma post zao navuta hisia mpaka napata sura zao, sana sana napenda post zao najinsi walivyo active. Jamani wakuniponda uwanja wenu ila matusi hayaruhusiwa humu,na je munaonaje hizo machine mbili kongosho na lizzy

Kwa hiyo unataka kupondwa siyo?
 
NDUGU zangu wanajf nawapenda wote wana jf lakini nawazimia sana lizzy na kongosho ,nikisoma post zao navuta hisia mpaka napata sura zao, sana sana napenda post zao najinsi walivyo active. Jamani wakuniponda uwanja wenu ila matusi hayaruhusiwa humu,na je munaonaje hizo machine mbili kongosho na lizzy

kipendacho moyo ni rukhsa ili mradi usifikie hatua ya kuwatukuza zaidi ya Muumba..............
 
Hahahahaha, hata mimi nimesha kutana na hayo. Mwanaume mwanamke?

mwali avatar yako ni swafi lakini ningeomba unionyeshe uso wote roho yangu itulie.............acha uchoyo na kutuficha uzuri wake........

avatar59556_4.gif
 
Back
Top Bottom