kongosho kongosho kongosho................

Asante, basi nd maana wanipenda kumbe?
Siku 8 tu, hata mie nakupenda
Sijui kwa nini unamkataa shoga angu Bishanga

Anajua kutunza huyo?

Afu nikunong'oneze( Sio mzee kabisa, ana miaka 33, huwa anajiita mzee ili vibinti visimsumbue)
hongera konnie tumepishana siku 8 tu
 
Last edited by a moderator:
Kumbe leo Birthday ya Kongosho hata sikuambiwa??? Happy birthday Konnie, may you live happily and long enough to see many more.
 
Last edited by a moderator:
bila kusahau hii kutooka kwa Asprin... anakwambia plz say "yes"

View attachment 56668
Hivi we BADILI TABIA, bado hujajua kuwa Kongosho alishanipiga chini? Hivi niko kwenye mchakato wa kutafuta mbadala. Nchagulie wa kumpa hiyo makitu.

Happy Birthday Kongosho. Mungu akubariki na kukulinda upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana. Akulinde ili mpaka siku utakayo RIP wanao 12 waweke mishumaa 12 kwenye kaburi lako. Karibu kwenye chama chetu cha wanaolikimbilia kaburi.

BTW Ushaanza mazoezi ya kupunguza uzito? Presha si ugonjwa mzuri.
554468_387375901314569_100001264865463_1224629_385008229_n.jpg

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Kongosho

Asante Nicky!

hi hi hi....ngoja nikupe namba yake umwite mwenyewe..........

Haya nipe namba yake fasta, maana leo mama muuza na shughuli bila huyu pombe haitaisha
@buchanan hana uthubutu wa kuniacha......
ila wewe Kongosho unataka kuniharibia kwa naniliu...inakuwaje unaleta habari za bebiboi wangu hapa?

Umeona inavouma? Mkuki kwa nguruwe . . . .

Kumbe leo Birthday ya Kongosho hata sikuambiwa??? Happy birthday Konnie, may you live happily and long enough to see many more.

Asante Roulette, hata mie sijui kwa nini hukuambiwa lol
Labda alitaka iwe yake kwanza angalau kwa masaa machache
 
Hivi we BADILI TABIA, bado hujajua kuwa Kongosho alishanipiga chini? Hivi niko kwenye mchakato wa kutafuta mbadala. Nchagulie wa kumpa hiyo makitu.

Happy Birthday Kongosho. Mungu akubariki na kukulinda upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana. Akulinde ili mpaka siku utakayo RIP wanao 12 waweke mishumaa 12 kwenye kaburi lako. Karibu kwenye chama chetu cha wanaolikimbilia kaburi.

BTW Ushaanza mazoezi ya kupunguza uzito? Presha si ugonjwa mzuri.
554468_387375901314569_100001264865463_1224629_385008229_n.jpg

attachment.php
Huyo ndio Kongosho?? Au ndio unataka kuchaguliwa na BADILI TABIA kati ya hao atakayekufaa??
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha, Babu Asprin bana
Yaani ulinogewa na mjukuu ukataka hadi asiolewe??
Mjukuu unagusa tu ila waoaji wengine ngoja uone na MJ1 na Zion daughter wanataka kuolewa
Utakufa kwa presha mwaka huu. bora uwe na wajikuu vidume.

Sipunguzi unene hizi nyama nina kazi nazo wakati wa kuandama mwezi lol

Asante kwa kuniwish h b day

Hivi we BADILI TABIA, bado hujajua kuwa Kongosho alishanipiga chini? Hivi niko kwenye mchakato wa kutafuta mbadala. Nchagulie wa kumpa hiyo makitu.

Happy Birthday Kongosho. Mungu akubariki na kukulinda upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana. Akulinde ili mpaka siku utakayo RIP wanao 12 waweke mishumaa 12 kwenye kaburi lako. Karibu kwenye chama chetu cha wanaolikimbilia kaburi.

BTW Ushaanza mazoezi ya kupunguza uzito? Presha si ugonjwa mzuri.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom