Kongosho, JF Member

Unataka kumfukuzia mke wa wenzio?! Ana waume wawili huyu jamani, kha!
Shosti kile kizizi cha yule mganga wa Mange Kimambi kimelipa eeh? Utanipeleka na mie basi!
 
konnie love,niaje weekend,washakuorozesha kwenye list ya wadanganyika au hawajakufikia? Kwangu sijawaona.
 
sasa hivi natafuta mod

afu nina malalamiko, nakuja kwako.

amekuja hapa mmoja, akasema akanihesabie chumbani

kufika huko, akaanza kuhesabu viungo vya pilau.

konnie love,niaje weekend,washakuorozesha kwenye list ya wadanganyika au hawajakufikia? Kwangu sijawaona.
 
sasa hivi natafuta mod

afu nina malalamiko, nakuja kwako.

Akuu, staki malalamiko mie. Bibi na bwana wakigombana mie navaa leggings naenda kupunga upepo wa kinyesi barabara ya osheni-rodi. Naogopa kusutwa!

(mseduce invisible akupenka-umod. Umeona Kaunga anasema ati sie tuna madongo? Nanuna in five minutes, kuna mtu namalizia kucheka nae hap)
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha, hapo bold nimecheka hadi basi
Una miguu ya kuvalia leggings wewe?? Ukute ya kijoti joti.

Nina pepo la ugomvi hadi basi, naomba nikukabidhi kwa wiki hii umfunde kidogo.
Kaunga ana lake jambo, na sasa tunaanza kuja na majiwe.

Sasa ulitaka nichukue jembe nikalime lami? Weeh vipi?
Unashangaa nini ulegi? Siku hizi mjini hakuna wanawake flat skrini, miwowow ya kumwaga. Na ma-ulegi, maboobs ndo usiseme. Kuwa mweusi nako kupenda, mie najibadilisha rangi kama kinyonga, nikivaa nguo ya pupple uso namechisha na viatu vya yellow. Sikuja town na mbio za mwenge atii!
Afu usimseme Kaunga, ni wifi yangu ati. Tutagombana bure!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom