@Kongosho (BADRA MASOUD) vs @Bishanga (IBRAHIMU TANESCO)

Mpelelezi wa tukio atakuwa OC-CID Nyani Ngabu:
Mahojiano:
Nn: Mtuhumiwa haki zako unazijua?
Bilionea bishanga: siongei chochote mpaka wakili wangu kloro awepo
Nn: sasa mbona unaongea?
Kongosho: unaulizwa na afande,mbona unaongea
Bilionea bishanga: hivi we mwanamke una nini na mimi mbona unanifuatafuata?
Nn: kwani mnafahamiana?
Bilionea bishanga: tangu utotoni,nilisoma naye uhuru mchanganyiko,kisha akaenda kisutu mi tambaza baadae tukakutana UDSM.
Nn: ya kweli konnie?
kongosho: afande, si hilo tu,hata bikra alintoa bishanga
NN: he?
Bilionea bishanga: unashangaa nini? Hata mkeo nilimuanza mie
Wacha valangati lifumuke,meza huko,viti huko,crown huko,ofisi nyanga nyanga.

Hahahahahhaha hahhahaahhhah!!!!hii ni topic mpya au..........!
 
shemeji mimi natoa TOKEN zile za wakubwa!! hizo za umeme nimemwachia Bw. IBRAHIMU...
Jambo wewe?
babu amekula?

Hahaha hahha hahahha!

Niko bize na Rejao wangu hapa si unajua mida ya cha mchana huu!

Babu yuko kwa mkewe mpya cacico!
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka mbaya!Alafu niko semina mkoa!Wawezeshaji wanadhani nawacheka wao!!Sijui posho watanipa maana mmoja kanikata jicho mbaya!Bishanga igizo limeishaaa!
igizo haliishi mpaka Kongosho apate uja uzito.
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaaaa...kweli nimeamini wanadamu tulikua nyani...
yaani iyo kengele nikiiangalia, kama najiona mm vile...lmao
khaaaaaaa kwi kwi kwi kwi BAGAH huna akili! nimechekaje eeeeeee sasa??
 
Last edited by a moderator:
Mpelelezi wa tukio atakuwa OC-CID Nyani Ngabu:
Mahojiano:
Nn: Mtuhumiwa haki zako unazijua?
Bilionea bishanga: siongei chochote mpaka wakili wangu kloro awepo
Nn: sasa mbona unaongea?
Kongosho: unaulizwa na afande,mbona unaongea
Bilionea bishanga: hivi we mwanamke una nini na mimi mbona unanifuatafuata?
Nn: kwani mnafahamiana?
Bilionea bishanga: tangu utotoni,nilisoma naye uhuru mchanganyiko,kisha akaenda kisutu mi tambaza baadae tukakutana UDSM.
Nn: ya kweli konnie?
kongosho: afande, si hilo tu,hata bikra alintoa bishanga
NN: he?
Bilionea bishanga: unashangaa nini? Hata mkeo nilimuanza mie
Wacha valangati lifumuke,meza huko,viti huko,crown huko,ofisi nyanga nyanga.

uwiiíi Bishanga we sio mzima aisee
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaa kwi kwi kwi kwi BAGAH huna akili! nimechekaje eeeeeee sasa??

mumlaumu mume wenu @Aspirin kutuanika hazarani...
kwani wewe huijui kengele?...
 
Last edited by a moderator:
hubby maziwa hayatoki mtoto anataka kunyonya...

Hapana niko na wake zangu cacico na Yummy tunaenda hospitali kumcheki BADILI TABIA. Anatarajia kujifungua leo jioni.

attachment.php
 
Back
Top Bottom