Kongamano la wana JF

mkomatembo

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
1,477
816
Jamani namuomba mkuu "Invisible" awatangazie wana JF popote pale walipo tukutane japo mara moja na kuweka historia. Ila itabidi katika mkutano huo kuwe hakuna pombe wala kitimoto! ili kila mmoja wetu ahudhurie , yaani kama kuna kina mimi na FaizaFoxy, wasabato , wayahudi ili muradi kutoa fursa kila mtu aweo.

Aidha Nategemea kuwa zile Avatar zitafanyakazi siku hiyo yaani kuwa kila mmoja sura yake itaonekana kama ilivo kwenye avator yake.

Ningependa sana kwanza kuonana na Dada FAizaFoxy maana najua watu wengi watakuwa wanamtafuta kwa hamu na kisura "Mwali" na Smile hawa nataka kujua wameolewa?.

Wengine ambao ningependa pia kuwaona katika sura zao za kwenye Avatar, nao ni :
Gozo, Majonzi, Juma kidogo, Matumbo, Washasha, Nitonye (Mh huyu sura yake jamani) Ritz, Rejeo (ha ha ha ) inaonesha huyu mbishi sana !
 
Samahani, mimi nitakuwa busy kiasi, kusukuma jurudumu la maendeleo
c76uA9z8LMPUIBEZYjYFVGIf+FcAg0AMMg9oWsIqr8if1PLj+31Mt9QoLap5NAAAAAElFTkSuQmCC
 
Invisible ukishajibu naomba mie niwe moderator wa utakaloliamua......tehe teheh hee....:lol:
 
Wewe nia yako nikukutana na Faiza Foxy sio wana Jf wote, mmp na ukutanane nae huko huko
 
Kuna mdada namtamani kwelikweli, naomba lifanyike mapema ili nikutane nae fesi to fesi.
 
Back
Top Bottom