Wana jf,nitumie fursa hii kuwajulisha juu ya kongamano la vijana litakalofanyikia chuo cha mipango dodoma Siku ya j2 tar 15/4/2012 saa 7 mchana.Mada itahusu CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA.watakuwepo waheshimiwa wabunge E.Wenje,J.Nassari,D.Silinde,H.Kigwangala,D.Kafulila na E.Maige ambaye ni muongoza mada.vijana wote UDOM,CBE,CAPITAL,HOMBOLO nk karibuni pale.
Mimi mwenyewe ntkuwepo mwnyewe kwa ajili hiyo!
Mimi mwenyewe ntkuwepo mwnyewe kwa ajili hiyo!