Tunahitaji kongamano la ukombozi siyo hilo.
Wana-JF, kwenye kongamano la leo imedhilika wazi jinsi ccm ilivyo vinunua vyama mamluki kumsimamisha Prince Mwaihojo ili kugawanya kura za upinzani jimbo la Mbeya mjini. Akiwa mtoa mada Mwaihojo, kiaina ameshutumu CHADEMA kwamba eti anatukana badala yasera. Hata hivyo mwenyekiti wa mamruki hao ametuchafulia hali ya hewa kwa kutoa madai kuwa CHADEMA imetisha maandamano ya nchi nzima kuvirazimisha viwaziri dokozi kujiuzuru, lakini lengo ni kuharibu mchakato wa katiba mpya. Maoni hayo yalichafua hali ya hewa ya ukumbi wa Mtenda, hata hivyo busara zaDr. Kitila Mkumbo zilifanikiwa kwatuliza wanambeya waliomkomalia mamluki wa ccm.hilo ni kongamano la utengano si mshasikia wenzetu znz hautakii