Kongamano la katiba mpyandani ya ubungo plaza

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Kwa wanasiasa,wanaharakati na wadau mbalimbali wa secta zote hapa tanzania na kwingineko,mnakaribishwa katika kongamano la kujadili mwenendo wa kupatikana kwa katiba mpya ya jamuhuri ya muungano wa tanzania,
ukumbi ni ndani ya ubungo plaza,
siku ni tar.30/07/2011
mda ni kuanzia saa nne asubuhi.
Njoo tuseme,njoo tuitetee tanzania yetu.imeandaliwa na wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu chuo kikuu cha dar es salaam kwa ushirikiano na umoja wa wanasheria tanzania
.
 
Back
Top Bottom