Kongamano la jukwaa la katiba-live

under_score

Senior Member
Nov 2, 2011
190
45
Wakuu, napenda kuwajuza tu ya kwamba kuna kongamano la kikatiba linaendelea kurushwa LIVE hivi sasa katika kituo cha televisheni cha ITV.

Asanteni.
 
Waandaaji hawatuambii professional qualifications za wazungumzaji wao, unashtukia tu mtu kaamka anasema anawakilisha maoni ya Wazanzibar kuhusu Muungano! Una qualifications gani wewe za kusimama mbele yetu kuongelea Katiba? Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nae anasema, kuhusu Muungano, nia yao ni kuuboresha sio kuuvunja, unajuaje watu hawataki kuuvunja? Achia yafanyike majadiliano huru!
 
Hapa blue pearl hotelini nafasi ni nyingi, walio karibu na ubungo njooni, hapa wanagawa kitabu cha katiba ya zamani, kitabu cha sheria ya mabadiliko ya katiba
 
Back
Top Bottom