Kongamano la CHADEMA DUCE.

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Wanavyuo wa elimu ya juu dar,wana kongamano lililoandaliwa na wanachadema CHASO tawi la DUCE.Litaanza saa nne asbuhi.viongozi wa chadema makao makuu watakuwepo,pamoja na Dr. A.LWAITAMA.litafanyika kwenye ukumbi wa TCC Sigara,Chang,hombe.karibu na national stadium.karibuni.
 
Ebwana ndiyo tunajiandaa muda huu kuja huko,mapambano muda wote kila siku,nguvu ya uma hakuwahi kushindwa,FREEDOM IS COMING,VIVA CHADEMA.
 
Haya Walimu kazi kwenu kupigania haki zenu ni wajibu wenu, kabla hamjapangiwa shule za uswazi ambazo hazina hata madawati.
 
Wanavyuo wa elimu ya juu dar,wana kongamano lililoandaliwa na wanachadema CHASO tawi la DUCE.Litaanza saa nne asbuhi.viongozi wa chadema makao makuu watakuwepo,pamoja na Dr. A.LWAITAMA.litafanyika kwenye ukumbi wa TCC Sigara,Chang,hombe.karibu na national stadium.karibuni.
Ni TV gani za kibongo zinarusha LIVE!, wengine tuko mbali.
 
cku hizi tv hazioneshi habari za chadema,seuze live coverage? Labda magazeti.
 
Back
Top Bottom