wapuuzi nyie. seems hamna kazi za kufanya. badala ya kujiendeleza mnang'ang'ania mifumo iwabebe, hup ni upumbafu!
Kongamano jema, lakn mtoe mada ni jinsi gani mtawaendeleza vijana wa kiislamu kielimu na pia itolewe mada ya kuboresha Chuo Kikuu cha Kiislamu kilichopo Morogoro ili kiweze saidia vijana wa kiislamu.
Badala ya kuzungumzia namna ya kuendeleza mifumo halisi ya miundombinu kama barabara, maji, elimu, umeme, afya, nk wao wamekomalia nguvu zao kupiga domo la namna ya kuutekeza "mfumo kristo" ambao upo ndani ya mbongo zao..
Tatizo hapa concentration ya ile elimu yetu niulize ulimwona na hata kumsikia msomi wa kweli anazungumzia mambo haya ya mifumo dini? Kwanza atapata wapi mda wa kuendeleza nchi na muda wa kuzungumzia mfumo dini mimi nadhani tuwaache tuu tumeshawazoea.maana ilinenwa ya kwamba utalazimika kuijua kweli na hyo kweli itakuweka huru.
Nalazimika kuifunga thread kutokana na maudhui yake kwenda nje ya kanuni na sheria za JF.Haya leo tena kutakuwa na kongamano la kitaifa mjini tanga viwanja vya TANGAMANO KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI HADI SAA SITA. Mada athari za mfumo kiristo TZ, HARAKATI ZA UHURU TZ, katiba mpya nk. Masheikh wote maarufu watakuwepo, PIA LITARUSHWA LIVE KUPITIA RADIO IMAAN ambayo inasikika nchi nzima. Nyote mwakaribishwa tuwe pamoja kupambana na mfumo huu wa kibaguzi tz hadi tuutokomeze.