kondoo na radi

Simeon

Member
Nov 29, 2010
61
19
je kuna ukweli wowote wa kisayansi kuwa kondoo huwa anapigana na radi?na ukivaa nguo nyekundu utapigwa radi?au ni mapokeo tu?
 
je kuna ukweli wowote wa kisayansi kuwa kondoo huwa anapigana na radi?na ukivaa nguo nyekundu utapigwa radi?au ni mapokeo tu?
Simeon, sidhani kama kuna ukweli wowote wa kisayansi. Labda ni imani tu, hata mimi nimeshasikia saana kuhusu mambo haya lakini hadi leo hii sijathibitisha.

A verse taken from
Reality Poem
By Linton Kwesi Johnson

dis is di age af reality
but some a wi a deal wid mitalagy
dis is di age af science an' teknalagy
but some a wi check fi antiquity
 
Back
Top Bottom