Kondoo mwenye korani azaliwa

Kulhuwalah ahadu-"sema mwenyezi mungu ni mmoja".
Allahu swamadu-"na hana mshirika".
Lami yalidu walam yu ulad-"hakuzaa wala hakuzaliwa"
Walam yakula hu kuf an ahad-"nahakuna anaefanana nae". Qur 112.
Mwenye akili timamu abishe hapo kwa fact!!

Me nilijua tu! Yaani sijui kwanini watu wanaitafutia dini mashiko wawache kuran isimame yenyewe,
Me nna akili sana ndo maana mara ya kwanza nikawawekea kitimoto mwenye maandishi ya kiharabu, alafu nikawaambia kuwa waweke hiyo yasini ili tufananishe.

Kitu nilichogundua ni uongo kuanzi yasin namba 38 naona kunamaneno ambayo sio ya kweli sababu wamesema eti mwezi una vituo na mambo mengi yasio heleweka.

Kweli waislam mna kazi kubwa sana mbele yenu? Yaani hilo baka jeupe ndo linawafanya muanze hija? Poleni sana, Yasin kwa kiarabu haiandikwi hivyo, hapo mme forge. Yasin inaandikwa:

ﺐﺸﻋ

Me nilijua tu! Yaani sijui kwanini watu wanaitafutia dini mashiko wawache kuran isimame yenyewe,
Me nna akili sana ndo maana mara ya kwanza nikawawekea kitimoto mwenye maandishi ya kiharabu, alafu nikawaambia kuwa waweke hiyo yasini ili tufananishe.

Kitu nilichogundua ni uongo kuanzi yasin namba 38 naona kunamaneno ambayo sio ya kweli sababu wamesema eti mwezi una vituo na mambo mengi yasio heleweka.

tusikashifu dini za wengine

wajameni, hivi huyu kondoo yupo au kachijwa kwenye idd iliyopita! Mwenye taarifa atujuze

hakuna cha ujinga kila mtu ana iman yake! So be careful with what u comment!! Never mess with anything that has 2 do with someone's faith.
nakuunga mkono, ila tungebeba imani kwa hekma wala hatuwezi kutishana. ukijua kuwa iman ni dynamic huwezi kupata shida na anayebeza iman tofauti na yake

Back
Top Bottom