Kondomu za kike zageuka urembo Kahama, Shinyanga!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,649
Wakati tukiwa bado tunashangaa watu kugeuza neti
za kujikinga na mbu kugeuzwa nyenzo za kuvulia samaki
kwa madai kuwa heri mtoto ang'atwe na mbu lakini
ashibe, huko kahama mkoani shinyanga kimezuka kituko kingine.

Kwamba wanawake wamebadili matumizi ya kondomu
za kike na kuwa bidhaa muhimu kwa ajili ya urembo.
Sina uhakika kama na wao wameamua kwamba heri
wapate ukimwi lakini wapendeze! Kisa chenywe ni
kwamba sasa wanawake wamekuwa wanakata zile 'rings' za
kondomu za kike na kuzivaa kama bangili.

Mambo ya urembo hayo!
 
Afu wanasema zina madhara
Sasa hao wanaowapa kuzivaa, hawajadhurika???
 
Watu wengi walio kwetu,elimu ya vitu vya msingi na uraia,bado iko chini sana,tunahitaji kuwasaidia watu wetu,hiyo inaonesha kuwa watu wetu walio wengi ufahamu na uelewa si mkubwa,tuwasaidie!
 
tatizo wananchi hawana hela,wangekuwa nazo wange ishi maisha kama ya adam malima.
 
dahh!!!
kweli bongo hakitupwi kitu....
halafu huu ni bonge la ubunifu.............

Bowa wasukuma wamezitumia kwa njia mbadaba ya kuwaongezea kipato na kujiremba. Wamasai kuna kipindi walikuwa wanaazimana kifanyio (condom) yani BT leo unatumia halafu unakifua na kuniazima mimi then nakitumia, nakifua namwazima mwingie. Safi sana
 
tatizo wananchi hawana hela,wangekuwa nazo wange ishi maisha kama ya adam malima.

he he he he he he he he he he yaani hata wakati malima anaongea na waandishi wa habari usoni alikuwa bado ana biaa kadhaa kichwani...
 
inawezekana hata hao wanaojua matumizi yake bado hawazitumii kwa jinsi zilivyo cumbersome
 
Wakati tukiwa bado tunashangaa watu kugeuza neti
za kujikinga na mbu kugeuzwa nyenzo za kuvulia samaki
kwa madai kuwa heri mtoto ang'atwe na mbu lakini
ashibe, huko kahama mkoani shinyanga kimezuka kituko kingine.

Kwamba wanawake wamebadili matumizi ya kondomu
za kike na kuwa bidhaa muhimu kwa ajili ya urembo.
Sina uhakika kama na wao wameamua kwamba heri
wapate ukimwi lakini wapendeze! Kisa chenywe ni
kwamba sasa wanawake wamekuwa wanakata zile 'rings' za
kondomu za kike na kuzivaa kama bangili.

Mambo ya urembo hayo!
Matumizi tofauti na yaliyopangiliwa kwa kifaa, haimanishi kwamba hawajikingi.
Mbona kuna watu wanatembea nazo na naambiwa hawatumii?
Acha wavae kama mabangili, ila wakumbuke kujikinga na Ukimwi kwa njia tatu
1.ACHA ngono
2.KUwa na mpenzi mwaminifu mmoja.
3.Tumia kondomu

Kama za kwanza mbili zinafanya kazi, shida gani tena kulundika mikondomu KAHAMA.
 
Inawezekena hawana elimu ya kuzitumia usiwalaumu na badala yake watoke wana blog kwenda kutoa elimu hii pekee kwa ajili ya wanawake hawa maana huu ni msiba mh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom