Kondomu hazina raha kwenye tendo la ndoa

KUNDULE

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
318
177
Jana nimetumia kwa mara ya kwanza yani ilikuwa kero ikabidi nivue nitupe. Pia hata my hubby alikuwa hainjoi,kiukweli kondomu hazifai pia hazina raha kwenye tendo la ndoa.
 
"Ladha" ni nini?

Sote kwa pamoja tusimame tumwombee marehemu mtarajiwa.

Hakuoneka ana binti na wala hakuiasi dini lakini atakufa kwa ngoma....

Pole sana Kund.u.... pole sana Kundule.
 
mimba isiyotarajiwa

Hata akiwa kwenye siku za hatari unapiga tu then anakunywa flagil(ile dawa ya tumbo) within 24hrs hakuna mimba wala nn sio kuhangaika na kondomu unataka papuchi yake iwake moto nn??
 
Duh, hilo tendo ni la faragha sasa sijui imekuwaje unakuja kuhadithia hadharani
wakati mwingine tuwe na utamaduni wa kuona soni katika baadhi ya mambo.
 
Hata akiwa kwenye siku za hatari unapiga tu then anakunywa flagil(ile dawa ya tumbo) within 24hrs hakuna mimba wala nn sio kuhangaika na kondomu unataka papuchi yake iwake moto nn??

Dah bukoba boy embu nijuze vyema kuhusu hiyo dawa.....Hapo unakuwa unaharibu mayai ama mimba mkuu?
 
uzuri au ubaya wa condom ni wakati wa kupima ukimwi hapo ndio utajua tofauti ya dafu na ngisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom