Kondoms, blueband na baadhi ya bidhaa ni mbovu - Zitto

mmh! tunakoelekea ni kuomba mungu atunusuru toka mwalimu nyerere afariki amezikwa na kila kitu, utu, uzalendo, uadilifu yaani kwa sasa hakuna hata moja linalofuatwa wakati mwingie naweza kusema yule baba kama mtabiri alisema watu wanaacha kuata mazuri wanachukua mabaya ndio haya yanayotokea sasa.

watanzania hatuna uchungu na nchi yetu badala ya kufanya mambo mazuri kwa nchi yetu tunafanya mabaya kwa nchi yetu hivi kweli tutafika????
 
Back
Top Bottom