Kondom kondom ni nzauri kwa afya

upele

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
364
31
napenda kuuliza wana jf kuhusu kondom ni mzuri kwa afya kwani nimekuwa nikitumia kwa wangu nachelewa sana kuliko dry kama wasemavo vijana,imekuwa nikitumia hisia sana katika tendo kwani huwa naona tofauti nitumiapo mpaka tunaamua kutoa,so nijuzeni inamadhara gani.
Conquest-all created by human being has negative effect than nature
 
Zina madhara ila niyakawaida coz ilibainika kuwa inasababisha fungas kwenye mlango wa uzazi kama jamaa atakuwa na mtwangio mrefu pia kama utakuwa ni m2miaji wa marakwamara lakin pia kama ulivyosema huwa zinasababisha mtu kuchelewa kumaliza na hii huwasaidia watu ambao humaliza mechi ndani ya visekunde vichache.b
 
Back
Top Bottom